Wenzetu sikukuu zenu mnatuvunja moyo.

Religious differences is a major problem in the world!! [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji31]



Cc Smart911
 
Au kwa sababu mbuzi wangu nimemchinja mwenyewe??
 


Pale Gerezani kuna grisi zinagawiwa bure toka wiki iliyopita mpaka wiki ya kwanza ya mwaka mpya. Ziwahi kabla ya wenzako.
 
Au kwa sababu mbuzi wangu nimemchinja mwenyewe??
Shetani wa Uchoyo kaitawala nafsi yako unatafuta visingizio.
Kwani sikukuu zangu mchinjaji huwa wewe hadi upate uhalali wa kujialika?
 
Angemkuna ya mama ake ingekuwa bora na wewe ungekuna mama ake na Dada ako au shangazi yako ingekuwa poa
 
Angemkuna ya mama ake ingekuwa bora na wewe ungekuna mama ake na Dada ako au shangazi yako ingekuwa poa

Jifunze kuandika lugha fasaha kisha,
Uanze kuandika matusi yako.

Vinginevyo kwa sasa nakuona
U-mwanaharam alie mjinga.

Lakini ukishajua kuandika utakuwa mwanaharasha mwerevu.
 
Nina jirani muislam, juzi wife kampelekea chakula km yeye alivyotuletea wakati wa idd. Dah, jamaa kumbe alimwaga chakula kwa kigezo kimetoka kwa kafiri. Nimeumia Sana. Nimejitahidi kumchinja njoo wangu kwa sheikh, lkn jamaa kumbe itikadi kali. Wengine nimekula nao home Fresh tu. Namsoma kwanza akija azima panga ndipo atakaponijua.
 
Huyo atakuwa mpumbavu na sio shihihi kumnyamazia.

Unapaswa kumuambia wazi hukupendezwa na ikibidi mwisho wa yeye nae kukuletea mavyakula yake.

Watu wanafanya kwa upendo tu si kuwa kuna anaetegemea aishi kwa vyakula vya msimu wa sikukuu.
 
Hahahahahaha ....mleta uzi umenifurahisha sana leo yan nimecheka mpk bac....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…