Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kwa sababu mbuzi wangu nimemchinja mwenyewe??Haiwezi ikawa ni kubahatisha,
Sehemu kubwa ya msiokuwa Waislam
(Wengi wenu)
Ni wabinafsi, wachoyo,
Hamna haya na Mnapata dhambi linapokuja swala la kushereheka na marafiki pamoja na majirani hasa katika sherehe/sikukuu za kiimani
Mfano: Iddi,Pasaka,Krismas,Maulid n.k.
Nyie mabwana kwa mabibi, mmekuwa mahodari wa kujialika, tena wenyewe majumbani mwa Waislam katika sikukuu zao
Na Waislam bila ya hiyana wamekuwa wakiwapokea kwa mikono viwili na kupokonyana chochote kikichopo bila ya kubagua.
Achilia mbali kero zenu kipindi cha Ramadan,
Mara futari,mara Uji yaani shida.
Ila sasa kwenye sherehe zenu,
Kama hampo vile.
Aaa, acheni hizo.
Mkijua kula mjue na kuliwa basi.
La kama hamtaki vyenu kuliwa msirukwe na akili kwenye mapilau na mabiriani ya wenzenu.
Kweli Mimi wa kula kama kawaida siku ya Leo?
Poa tutakutana mwakani.
Haiwezi ikawa ni kubahatisha,

Angemkuna ya mama ake ingekuwa bora na wewe ungekuna mama ake na Dada ako au shangazi yako ingekuwa poa
Huyo atakuwa mpumbavu na sio shihihi kumnyamazia.Nina jirani muislam, juzi wife kampelekea chakula km yeye alivyotuletea wakati wa idd. Dah, jamaa kumbe alimwaga chakula kwa kigezo kimetoka kwa kafiri. Nimeumia Sana. Nimejitahidi kumchinja njoo wangu kwa sheikh, lkn jamaa kumbe itikadi kali. Wengine nimekula nao home Fresh tu. Namsoma kwanza akija azima panga ndipo atakaponijua.