GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa.
GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99% huu Usajili wa Wachezaji mahiri wa Yanga SC ( hasa hawa wa Kigeni ) umetokana na Jicho lako Kali la Kiufundi huku Usajili wa ndani ( Wachezaji wa Ndani ) Kazi nzuri inafanywa na Kaka yangu Mtoto wa Mjini Ramadhan Kampira.
Wakati Yanga SC ikiwa na Local Scouts hawa ( Mayai na Kampira ) inafanya vyema huko ( kule ) Simba SC tumeletewa Tutusa la Kiholanzi yaani limekaa weeeeeee Tandale Uzuri likapata na Mademu wa Kiswahili na muda mwingi linashinda Runingani kutazama Soka la Bongo na la Ulaya huku likiwa limevalia Jezi Feki ya Simba SC leo ndiyo anateuliwa kuwa Chief of Scout wa Simba SC.
Simba SC hii ninayoifahamu Mimi Chief of Scout angekuwa ni Poti wangu na Tajiri Crescetius Magori au Beki wetu Katili wa zamani na Mfia Timu Boniface Pawassa au Nahodha wetu Msomi wa zamani na Mtoto wa Mikocheni A Renatus Njohole ( aishiye Switzerland kwa sasa ) wangefanya vyema Kiusajili kuliko hili Tutusa la Kiholanzi liishilo Tandale na Jezi yake Feki ya Simba SC.
Na hata Mimi tu GENTAMYCINE ningeteuliwa hiyo Nafasi ya Chief of Scout na nikapewa Fungu na niruhusiwe Kuchagua Wasaidizi wangu Wawili tu ( Watu wa Mpira hasa ) nina uhakika ningetafuta Wachezaji wangu hatari Saba ( 7 ) kisha ningewaambia Simba SC ( Uongozi ) kuwa kama Wachezaji niliowaleta Mimi wasipofanya maajabu na Kuifikisha Simba SC ama Nusu Fainali ya CAFCL au Fainali ya CAFCC ya Msimu ujao na Kuchukua Ubingwa Waninyonge Hadharani kama sehemu ya Adhabu yangu.
Na najua Mashabiki wa Simba SC tulivyo Matutusa ( Majuha ) basi hii Taarifa ya huyu Tapeli wa Kiholanzi aishiye Tandale na Jezi yake Feki ya Simba SC Mels Daalder tutaifurahia Usiku Kucha na Mchana kuliko hata Yanga SC ambao wameshatuacha Kimafanikio na huenda tarehe 28 May, 2023 wakaanza Kuushangilia Ubingwa wa CAFCC na tarehe 3 June, 2023 wakauchukua kabisa mbele ya Ardhi ya Mwarabu Kwake nchini Algeria.
Kama tu Mwekezaji Wetu ni Samjo Samjo Panjuani ( Muongo Muongo Tapeli ) aliyetuambia katuwekea Tsh 20 Billion ( zisizoonekana katika Benki yoyote hapa Tanzania ) unategemea asiendelee tu Kutuletea na Kututeulia Masamjo Panjuani Wenzake?
Kuna Mambo yananikasirisha sana!!!