Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.