Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,973
Reaction score
9,572
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana son nishakwambia kule kwenye jukwaa la msongo wa mawazo upite jukwaa lako halali ni cc hakuna kuwekwa selo
 
asante heri ya mwaka mpya 2013 ulioanza na ban kuwa makini unaweza kula ban mwaka mzima
 
Pole sana son nishakwambia kule kwenye jukwaa la msongo wa mawazo upite jukwaa lako halali ni cc hakuna kuwekwa selo

Hahaaaaaaaaa thanks maza, kule kuna watu ni wachokozi afu mods hata hawalali, siku wakinywa dawa ya usingizi lazima nikaharibu tena afu nakimbilia huku
 
karibu mkuu!
hawa masalia PM7 sio masiala, ohoo! mm mods walikuwa wamenipa ban ya kimya kimya, nilikuwa sioni update ya kitu chochote hapa JF, loh!
 
Thanks Mkuu, kumbe na wewe ya masalia yalikupata
 
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi

Mkuu nitonye vip tena..kakukosea kitu tena mwaka huu,maake ya mwaka jana tumeyazika juzi...upendo wa BWANA uwe nanyi.
 
Pole sana shemeji yangu Mungi .. Kumbe ulikuwa umepata accommodation on complimentary basis kule BAN GUEST HOUSE?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Mungi,

Ila na wewe uachane na mambo hayo....huwezi kuendelea kupigwa ban kama njuka bwana...

Vinginevyo tuwasiliane nikupe antidot!!

Heri ya mwaka mpya na kwako pia..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi

welcome_back-40f1e46898ad4d62ac7f402607610a24.gif
 
wera weraaaaaaaaaaaaa, Mungi welcome back bana, habari za segerea bana.........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom