Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Last edited by a moderator:
We njoo tu, utanifanyia na vingine vingi
CityLux-Male-massage-in-London1.jpg

COPY: Chimbuvu
COPY: Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Bora nimekuona Mwenyekiti,
Jana nimeku-search sana sijakupata, nikajua na wewe ni analijia umefungwa, kumbe wa dijitali.
Hongera kufika 2013!
mKUU,
Heshimakwako kiongozi!
Jana nilikuwa nimeretreat kidogo nikitafakari mwaka2013.
Hongera sana kwa kuvuka, naamini tuko pamoja.
Salamu kwa wapendwa wote Tanga -Wing!
 
Mkuu nitonye vip tena..kakukosea kitu tena mwaka huu,maake ya mwaka jana tumeyazika juzi...upendo wa BWANA uwe nanyi.
nitonye ananiita mi sharobaro na kuwa nimesababisha kuvunjika ndoa yake wakati masharobaro ni akina Mr Rocky, wanaendaga kwaya na sweetlady.

Kweli hii sio dalili nzuri..anaweza kujikuta anakula ban kila idara hata kwa mkewe Lily Flower
Weeeeeeee Koma kabisa..................... eti Lily Flower hapa ulisema nini?

Pole sana shemeji yangu Mungi .. Kumbe ulikuwa umepata accommodation on complimentary basis kule BAN GUEST HOUSE?

Asante Shem wangu.................... nakuambia selo nilipolazwa kulikuwa baridi afu unachungulia kwa mbaliiiiiiiiii, panaitwa REST IN SERVER GUEST HOUSE
Unaweza ukawa mtabiri wewe maana toka nirudi toka Tanga hatujaonana atiii......ban la nyumbani laendelea.
Huu sasa ni unyanyasaji na mfumo jike at work.
Pole sana mkuu Mungi,

Ila na wewe uachane na mambo hayo....huwezi kuendelea kupigwa ban kama njuka bwana...

Vinginevyo tuwasiliane nikupe antidot!!

Heri ya mwaka mpya na kwako pia..

Babu DC!!
Thanks Mkuu, lakini ujue masalia wale tukiwaacha wafanye watakavyo wataharibu, bora upigwe BAN and the message sent.
Kwa hiyo kama Blaki Womani ni Maza wako, basi Arushaone ni baba yako, au Sijaelewa!!!!!!!!! Mungi
Mi sikubali kuwa Arushaone ni baba, ye si niwakufika tu bana?

Miss you too Mungi karibu tena!!!

Thanks charminglady, I am back.

UOTE=Madame B;5360966]
welcome_back-40f1e46898ad4d62ac7f402607610a24.gif
[/QUOTE]

Waaaaw...........Thanks Madame B lol.......................

wera weraaaaaaaaaaaaa, Mungi welcome back bana, habari za segerea bana.........

Thanks Ciello ............... wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mh. Mungi sikupi pole kwani ushakuwa sugu! Na ukirudia tena 'watakupeleka' LIFE BAN RESORT, FULLBOARD ACOMMODATION. Hakuna kutoka! (kidding) Karibu jamvini ! Happy New York! Ah sore Happy New Year!
 
Last edited by a moderator:
Losako Mungi, likambote


Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi
 
Last edited by a moderator:
Welcome to the world mkuu Mungi....ila hakuna ulichokikosa....zaidi nikutakie Heri ya Mwaka Mpya 2013
Thanks Mkuu
Pole sana Mkuu Mungi, naona mods waliunganisha na adhabu ya wewe kupingana na maelekezo ya Mwenyekiti PakaJimmy kumtaka sweetlady aje Tanga.

Pole, Tunte anahitaji za uso.........!
Asante Mkuu, lakini kumruhusu sweetlady ilikuwa ngumu kwasabu my waifu akiondoka yeye anakuwa duplicate hahaaaa, sasa sijui kama ndo hivyo japo naona element. afu isitoshe nilikuwa na wasiwasi na wewe ndo maana nilimzuia sweetlady kuja TA.
Mungi pole sana na karibu tena, achana na wale wa kule jukwaa la stress ukienda kule ni lazima upate hasira tu.

Thanks Mkuu, kule siyo hasira tu, unaweza kumficha mtu kwenye kwapa hahaaaaaa
Madame B, Hii ndiyo haswaa, maana yake!

Pole sana Mungi...ishu yako ilikuwa nzito bana, hata mzamana ulishindikana!
Thanks Mkuu........................ ni kweli ishu ilikuwa nzito pamoja na juhudi zako za ziada, lakini mods akina PainKiller waliamua kuzisimamia kanuni zote za jf nimalizie kifungo.

Angejua kuwa ban aliyokula ina "MKONO WA CHUMA" wa mtu fulani asingeamini!

hahahaaaaaaaaa kwahiyo mlijua kuwa nitaziharibu kule kwa masalia mkanitegeshea siyo!
Kheri ya mwaka 2013!

Thanks manoah, lakini huyu dogo ulomtuma mbona kang'ang'ania zawadi yangu? njoo huku nisaidie lol

Mungi;; Dah!!!! Ni jana tu nimejua ya kwamba umenukisha jukwaa langu na katika kudadafia nikapata kuona ya kwamba utarudi leo hii na ndivyo ilivyo kweli kwani hakika umerudi..................ninawapongeza Mods kwa kutenda haki yao ipasvyo na Hongereni sana..................Bila shaka baada ya pilika ya hapa na pale nitikuseach hewani hata tusalimiane Kamanda wangu pamoja na Wakuu hawa;;
Bila shaka tuonane tupeane hai wadau wangu kwani tuna kila sababu kwani hakika MUNGU ni mwenye uwezo.

Pamoja sana Mungi;
Pamoja sana mkuu................... tutatafutana badaye mkuu

Mkuu Mungi kumbe ulikuwa Ban Guest House
Wale chawa na kunguni niaje kule maana nasikia mods huwa hawana utani wala hawapigi dawa kule
Pole sana mkuu wangu na karibu tena na heri ya mwaka mpya pia
Lile jukwaa la stress linawafaa wenyewe we ishia huku huku stress free zone

Mkuu nilikuwa BAN GUEST HOUSE, nilikuwa na rafiki yangu Crashwise, ye nimemwacha kule anaendelea kuwapa semina wahudumu wa selo.
Karibu sana kaka Mungi
Salamu kwa Server kama ukirudi tena kwenye hiyo sero.
Hahaaaaaaaaaaaaaa Mkuu unataka nirudi tena kule wakati unaona nje kupitia dirishani............ we ngoja tukuundie kamati mazee.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nipo ila nimebanwa na mambo ya kifamilia sana naona shemeji yako Kipipi hataki niingie JF bila yeye kuwepo anahisi km ntadanganyika na wamama wa humu lol

Erickb52 familia ni muhimu sana mkuu we banana na masuala ya familia kaka
Aise unamuona Mungi katuita masharobaro wa Atown aise mi nareport abuse aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom