Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Kheri ya mwaka 2013!

Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa ya siku tatu. Pia nawapongeza Mods kuwa makini na kazi yao, kwa kweli siwalaumu kufanya majukumu yao, kwani nilipelekwa selo kwa kufanya kosa la the so called "Name Calling". Tunte ni noma dah!

Niliwamiss sana wadau kama akina uncle wangu Preta, mke wangu Lily Flower, msumbufu sweetlady, braza Filipo, shemeji yangu wa ukwe marejesho, adui yangu nitonye, masharobaro Mr Rocky na Erickb52, my lovely mum Blaki Womani, mwenyekiti wangu PakaJimmy, katibu wangu Mzee wa Rula, marafiki zangu Arushaone, LiverpoolFC, charminglady, Kipipi, Madame B, Ciello King'asti Judgement, Chimbuvu, Asprin, IGWE, Arabela, Dark City, Kaizer, KOKUTONA, amu, Smile, watu8, cacico, Mamndenyi, Marry Hunbig, stevoh, @FP, Bishanga, Zion Daughter, manoah, Mwanyasi, dudupori, na wengineo wengi kwa kweli nawapenda sana,

HERI YA MWAKA MPYA 2013, MBARIKIWE SANA MWAKA HUU UWE MWAKA WA MAFANIKIO.

Mungi
 
Keruuuuuuuuuuuuuuuuuu................!!!!!!!!!!!!!! PakaJimmy, unajua hali ya mgonjwanwako inavoendelea au unang'aa sharubu tu...............
Najua, halafu si nshakwambia kule kwenye thread yako kuwa KESHO aLHAMIS natia timu maeneo ILI kuendeleza dozi na kufanya dressing?

mHVlCMi.jpg
 
Mungi;; Dah!!!! Ni jana tu nimejua ya kwamba umenukisha jukwaa langu na katika kudadafia nikapata kuona ya kwamba utarudi leo hii na ndivyo ilivyo kweli kwani hakika umerudi..................ninawapongeza Mods kwa kutenda haki yao ipasvyo na Hongereni sana..................Bila shaka baada ya pilika ya hapa na pale nitikuseach hewani hata tusalimiane Kamanda wangu pamoja na Wakuu hawa;;
Mzee wa Rula
Crashwise
IGWE
Jackbauer
Ringo Edmund
PakaJimmy
Blaki Womani
Preta
Filipo
sweetlady
Mtumishi Wetu
Lily Flower
Arushaone
Erickb52
Kabakabana
Loner



Bila shaka tuonane tupeane hai wadau wangu kwani tuna kila sababu kwani hakika MUNGU ni mwenye uwezo.

Pamoja sana Mungi;
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi kumbe ulikuwa Ban Guest House
Wale chawa na kunguni niaje kule maana nasikia mods huwa hawana utani wala hawapigi dawa kule
Pole sana mkuu wangu na karibu tena na heri ya mwaka mpya pia
Lile jukwaa la stress linawafaa wenyewe we ishia huku huku stress free zone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom