Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wewe acha kudandia treni kwa mbele shauri lilo.


Babu Dark City beki tatu wetu alitoroshowa na Mr Rocky ndo maana nikamwacha mai hazibandi wangu na watoto, hakijaharibika kitu Babu worry not.


Kazi ni Kwako Arushaone, mawazo machafu tu muone kwanza.
Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hana mamlaka ya kukitengua.

Nakuhakikishia mai sweetie Mungi maandishi yalibaki kwenye keyboard.

I will do that just for you dear hazibandi.

2013 majungu hayana nafasi masikioni mwangu.

Thanks my waifu, wapambe nuksi tupa kule!

copy: Arushaone, Mr Rocky, Vin Diesel, sweetlady, Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe! Siku nikikuweka kwenye chupa ndio utaacha kunitajataja mdomoni mwako!

Yaani Mke wangu Lily Flower ameniweka kwenye chupa, na we beki tatu unataka kuniweka kwenye chupa hii ikoje jamani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom