Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unikome.....
anakuja fasta my dear sweetlady nilichanganya madesa mi nikikusikia tuu moyo wangu unadunda paa na napoteza netiweki
copy kwa Mungi na Vin Diesel na Erickb52
Kwani wewe unadhani tunaongelea bikira ipi? Upunguzege umbea babu wewe, utajasutwa siku sio zako
Vile ulimkuta Lily Flower kaweka ya kichina basi unadhani watu wote tunaweka eeh!
We jishaue, huna jipya hata.Hivi kwanini hutaki kunisahau wewe binti....
Nikutajie ili iweje?Hebu tutajie hiyo uliyonayo tusikie....
Kumbe kama mwizi alivyo na siku yake same applies kwa msutwaji?.
Nikutajie ili iweje?
Ukishajua ili iweje?Ili nijue kama kuna yoyote niliisahau....
Ukishajua ili iweje?
Wewe naona umetumwa kwangu ila nikukumbushe tu kuwa tuko 2013 na mimi nimekuja kivingine kabisa, hebu pita mbali na mimi tafadhali.Nije kuimalizia...
Wewe naona umetumwa kwangu ila nikukumbushe tu kuwa tuko 2013 na mimi nimekuja kivingine kabisa, hebu pita mbali na mimi tafadhali.
Vin Diesel karibu ndovu
Vin Diesel karibu ndovu