Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
I missed u dear....weekend yako ilikuwaje Lily Flower...
Ilikuwa nzuri sana Dear vipi yakwako Vin Diesel?
Wewe acha kudandia treni kwa mbele shauri lilo.
Kazi ni Kwako Arushaone, mawazo machafu tu muone kwanza.
Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hana mamlaka ya kukitengua.
Nakuhakikishia mai sweetie Mungi maandishi yalibaki kwenye keyboard.
I will do that just for you dear hazibandi.
2013 majungu hayana nafasi masikioni mwangu.
Thanks my waifu, wapambe nuksi tupa kule!
copy: Arushaone, Mr Rocky, Vin Diesel, sweetlady, Erickb52
Heheheeee nimeonaaaaa!
Ukome kuniletea copy, nishasema mwaka mpya , mambo mapya...niko mbioni kwenda kusomea u sister nimeanza kujaza form ya utangulizi so plz msinitengulie udhu mwana wa mwenzenu!Thanks my waifu, wapambe nuksi tupa kule!
copy: Arushaone, Mr Rocky, Vin Diesel, sweetlady, Erickb52
Nikukome au tukomane....
Afu wewe! Siku nikikuweka kwenye chupa ndio utaacha kunitajataja mdomoni mwako!Mkuu kama ni kesi basi my waifu Lily Flower atajibu kwa sabu ndo kaniachia watoto, huku kamruhusu beki tatu wetu sweetlady kwenda kuimba kwaya na Mr Rocky. au hujui sikuizi kuna mfumo jike?
Copy kwa Lily Flowerafu nina wasiwasi na ile zawadi ya juice uloniletea pale boogaloo
Wewe umeenda St. Teresia wakati mwalimu wa kwaya alisema leo tukarekodi na wenzetu wa kijenge, mie nshafika huku wahi basi.
Afu wewe! Siku nikikuweka kwenye chupa ndio utaacha kunitajataja mdomoni mwako!