Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Kheri ya mwaka 2013!

 
Mungi;; Dah!!!! Ni jana tu nimejua ya kwamba umenukisha jukwaa langu na katika kudadafia nikapata kuona ya kwamba utarudi leo hii na ndivyo ilivyo kweli kwani hakika umerudi..................ninawapongeza Mods kwa kutenda haki yao ipasvyo na Hongereni sana..................Bila shaka baada ya pilika ya hapa na pale nitikuseach hewani hata tusalimiane Kamanda wangu pamoja na Wakuu hawa;;
Mzee wa Rula
Crashwise
IGWE
Jackbauer
Ringo Edmund
PakaJimmy
Blaki Womani
Preta
Filipo
sweetlady
Mtumishi Wetu
Lily Flower
Arushaone
Erickb52
Kabakabana
Loner



Bila shaka tuonane tupeane hai wadau wangu kwani tuna kila sababu kwani hakika MUNGU ni mwenye uwezo.

Pamoja sana Mungi;
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi kumbe ulikuwa Ban Guest House
Wale chawa na kunguni niaje kule maana nasikia mods huwa hawana utani wala hawapigi dawa kule
Pole sana mkuu wangu na karibu tena na heri ya mwaka mpya pia
Lile jukwaa la stress linawafaa wenyewe we ishia huku huku stress free zone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…