Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Mungi Mungi pole sana jamani kule hapafai we si huoni hata ukiweka live huwaga wanakutupa selo.
Kweli tunte ni noma aisee ile kampuni ina maisha marefu.
Na mpaka ije kufilisika itakuwa imewasababishia ban wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Mungi Mungi pole sana jamani kule hapafai we si huoni hata ukiweka live huwaga wanakutupa selo.
Kweli tunte ni noma aisee ile kampuni ina maisha marefu.
Na mpaka ije kufilisika itakuwa imewasababishia ban wengi sana

Shukrani mkuu, nakuambia siku ile heri ningekuja kula maisha na wewe sijui ilikuwa baa gani ile.......... usiku ule ule nikapigwa BAN.
Tunte ni taasisi ina watu kibao, kazi yao kuleta maudhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…