Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Wera Weraaaaaa Hatimaye nimetoka Selo hahaaaaaaaaa

Last edited by a moderator:
sweetlady hebu toa cheti kimoja maana naona vijana wanaota kila dakika huku
Wifi nimekutumia cheti kwenye PM... Mwaka mpya huu nimeuanza kivingine sitaki shari na mtu humu, tafadhali sana mkanye huyo mwanao Mungi... Kakako nitonye kaniweka under probation lol.
 
Last edited by a moderator:
Kwe kwe kwe kwe! Ungekuwa na ndoa nae usingemtelekeza safari ya tanga.

huu ni uchokozi taslimu, mi sikumtelekeza my Lily Flower tulikubaliana yeye aende Tanga akamsalimie Babu yetu Dark City, afu mi nibaki na watoto kwakuwa hausigeli wetu alikuwa kwenye kwaya na Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wifi nimekutumia cheti kwenye PM... Mwaka mpya huu nimeuanza kivingine sitaki shari na mtu humu, tafadhali sana mkanye huyo mwanao Mungi... Kakako nitonye kaniweka under probation lol.

Afu tabia yako ya kunisingizia sipendi, mi mazangu Blaki Womani ananifahamu ni mpole sina hiyo tabia ujue.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, afu huezi amini Mungi na kunitaja kote bado sijamlisha kitu, nikimlisha si ndio itakuwa balaa Mr Rocky? Nahisi atahamia getini kwetu kabisa lol.

Mungi koma kunitajataja manake unasababisha mume wangu kipenzi nitonye asirudishe moyo nyuma!

afu nina wasiwasi na ile zawadi ya juice uloniletea pale boogaloo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom