Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Tego kwa nani sasa? Kipipi ? Hapo sina shida nishazoea hadi chupaniMungi usiwe na wasi wasi Kipipi atakuwa kwenye mikono salama na atarudi akiwa na kizygote.
Erickb52 mbona una mpango wa kuingia kwenye tego aise hivi hujui tanga ndo kwenyewe nahisi tutakuacha pale Bombo hospital
Blaki Womani muache Arushaone hata aje atusalimie bana
Mzee wa Rula siku hiyo tutaomba uache ulokole pembeni aise
Preta mbona ombi langu umelichunia na alisisitiza Lily Flower aise
Filipo mbona sijamsikia marejesho au aliishia survey kwa akina Asprin na Bishanga
Dena Amsi sijui kaishia wapi au anataka mpaka apigwe short ya umeme ndo ashtuke
sweetlady, gfsonwin, snowhite niaje aise nawasalimia sana
@
Last edited by a moderator: