Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

There are currently 13 users browsing this thread. (7 members and 6 guests)

nyie hapo kwenye blue ni kina nani......? si muingie ndani......mnachungulia nini....?
 
ErickB2,Arushaone, Mungi lazima wapo hapo wanaogopa kuingia maana uzi umekuwa mchungu kwao.
Nawaonea huruma sana jinsi watakavyo kuwa lonely

hah hah hah hah! Hao ni akina Mwita Maranya wanatuonea wive! Lol
 
Last edited by a moderator:
Umenena vyema mume wangu Filipo ! Ila inatakiwa uchunge mzigo wako kisawasawa,maana ukizembea tu,mwewe pia wapo!!

kuna manyang'au wanafurahia sana hiyo red, ila watakaa sana! Sikuachi hata milimeter moja.
 
Last edited by a moderator:
ErickB2,Arushaone, Mungi lazima wapo hapo wanaogopa kuingia maana uzi umekuwa mchungu kwao.
Nawaonea huruma sana jinsi watakavyo kuwa lonely

Tangu tulipoanza PM na warembo wa dar akina Kipipi na snowhite midume ya dar inachungulia kama guest
 
Last edited by a moderator:
There are currently 13 users browsing this thread. (7 members and 6 guests)

nyie hapo kwenye blue ni kina nani......? si muingie ndani......mnachungulia nini....?

hello guest! since you don't own an account yet let me tell you: it only takes about 2 minutes and its free! Preta hiyo lugha gani? labda ndo mana watu wanaogopa kuingia ndani
 
Last edited by a moderator:
kuna manyang'au wanafurahia sana hiyo red, ila watakaa sana! Sikuachi hata milimeter moja.

Itakuwa vyema ukionyesha kwa vitendo!!
Hubby si unajua ntatakiwa kuvaa manguo mapya,maviatu,kutengeneza nywele kwa ajili ya safari nk?!!!Nakuambia mapema ili ujipange!!!
 
yaani ndo wameongezeka sasa dah! hawa jamaa wa bongo kweli waoga

There are currently 17 users browsing this thread. (9 members and 8 guests)

Amyner naye atakuwa humu!!!Mie namsikia tu ila sijui ndio kanyimwa ruhusa ya kuingia humu sebuleni?@Erickb52 shem wangu mruhusu japo mara mojamoja bana!Kupiga chabo kunachosha!!!
 
Last edited by a moderator:
Dont worry darling! I'll do the needful.
Mambo madogo sana hayo.
Itakuwa vyema ukionyesha kwa vitendo!!
Hubby si unajua ntatakiwa kuvaa manguo mapya,maviatu,kutengeneza nywele kwa ajili ya safari nk?!!!Nakuambia mapema ili ujipange!!!
 
Nimesoma ramani nimeona tayari Blaki Womani keshaenda kwa bepari la kihaya Ruttashobolwa lakini haina shida bado sipumulii drip.

Erickb52 naona kama unabeep badala ya kupiga, Preta namshangaa ni kama anajifanya haoni offer ya Mr Rocky!!!! Hapo sasa Mungi kama kachanganyikiwa tangu agundue siasa haina dili, hajua ang'oke na nani yaani yeye wote wazuri tu!!!

Madame B baada ya kuelewa ratiba nzima hana wasiwasi hajui kama PakaJimmy hatabadilika baada ya kumuona cacico, Kipipi bila kujali wa awali ni awali maana wakina Asprin aka babu wao ni wazoefu watatumia uzoefu kuushangaza umma.

Finest yuko busy kama Bush alivyokuwa anamsaka Osama!!! Bigirita ndiyo kama kasusa kabisa maana mpaka saizi hajasema lolote!!!! FirstLady yeye ni kama mkoloni kamnyima ruksa na hivyo anaona uchungu hata kupitia uzi huu.

Jamani WiseLady kwa kweli tumekumiss wakati ukija kuhesabiwa usikose kupitia pande hizi bila kumsahau jemedali Kimey ambaye siku hizi yupo kama hayupo.

Wakongwe kama Bishanga sijui kaona dalili ya kilala doro, mbona kimya???

Back to Filipo anahangaika kuimarisha lindo kwa marejesho tangu apewe angalizo la vipanga kuwepo!!!!

Lily Flower beat la Mungi limemtouch na kutepeta tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom