Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

hahahhahhahahhaahhah mpafu ya mbwa na nguzu za punda zinahitajika hapo!shaurilo
Punda hana nguvu yeye anasifika kwa kifanyio ma mbwa ni maarufu kwa Temeke yan wakipiga shughuli uko na watoto lol utakoma
 
Sasa nani atakuja kumsimulia mwenzie?

(ndo maana nimekunyima like kwenye hii post)
Teh msimamo wangu haubadiliki...like najua utanipa tu Kipipi coz tunalikiiana km konda na mlegezo...
Naona Mr Rocky anakuvizia achana nae kabisa ana wake wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…