Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!


Teh yan Mr Rocky kumchukua Kipipi ni ndoto...nawewe Mungi ndio maana unapelekwa sero umezidi majungu lol[/QUOTE]

Mkuu Mr Rocky alishamaliza kazi kwa Kipipi...................... hebu jitahidi mtafute Kabakabana hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Mungi mbona nikikupa siri unakuja kuzitangaza hapa aise utampanya Kipipi ashtuke bana
Nakutumia bahasha nyingine aise ili sasa achezee mambo kamili halafu aingie kwenye basi siku hiyo[/QUOTE]

Mkuu siyo mimi, bali Kipipi ndo kani PM kuwa amefanikiwa kuzichezea mabetri zako bana
 
Last edited by a moderator:
sweetlady umesikia ya babu Asprin? Lily Flower mashaka ondoa babu shajitokeza
 
Last edited by a moderator:
Chezea pilika za daslamu. Na mie mbona niko nkoarua, nikija mjini nani atanivusha barabara?
Note: napita shortcut ya sing'isi, akeri, ilboru natokezea mianzini.
Saasa hapo mianzini unapotokezea ndo pabaya zaidi, maanaSiku ukija omba msaada tuje tukuvushe, tusijeanza kuandika RIP nyiingi hapa!
 
Last edited by a moderator:
Saasa hapo mianzini unapotokezea ndo pabaya zaidi, maanaSiku ukija omba msaada tuje tukuvushe, tusijeanza kuandika RIP nyiingi hapa!

usimtishe! Anipitie hapa Kiding'a tushuke nae!
 
orait orait.....umeuelewa uzi au hujauelewa......na kama umeuelewa......nini maoni yako.....?
Sa wewe unataka uwambiwe suprise? suprise haisemwi kabisaaa! stay tuned
 

hahahahah...sasa Preta nikuone wapi nikupe zawadi ya kichina...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…