Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

teh Liverpool kakosa mtu.ila point of correction smile na Filipo bwana
 
Last edited by a moderator:
teh Liverpool kakosa mtu.ila point of correction smile na Filipo bwana
 
Last edited by a moderator:
ANGALIZO; Hatuendi kufanyana wala kufinyana jamani!!!!!!!!!!!!!!!! just curious, mbona imekaa ki-couple kihivoo?
 
Jamani mi nataka uthibitisho nije
ila naogopa nahisi ndo peke yangu nitakuwa alone naona zote ni couples mmhhh
 
Jamani mi nataka uthibitisho nije
ila naogopa nahisi ndo peke yangu nitakuwa alone naona zote ni couples mmhhh

amu nenda kwenye thread nilioanzisha leo kuhusu couples ukachague wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…