Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unitue safari yako na nani?
Me nishawekewa oda na PakaJimmy
waifu usihangaike nae huyo. Ni mkosaji anatapatapa!
hawa ndio wanaenda............
View attachment 74202 View attachment 74206 View attachment 74210 View attachment 74214 View attachment 74218
View attachment 74203 View attachment 74207 View attachment 74211 View attachment 74215 View attachment 74219
View attachment 74204 View attachment 74208 View attachment 74212 View attachment 74216 View attachment 74220
View attachment 74205 View attachment 74209 View attachment 74213 View attachment 74217
Si wa Ntwala tupigieni hesabu nasi tujiunge chonde jamani..
teh Liverpool kakosa mtu.ila point of correction smile na Filipo bwanaWadau,
Naamini Wikiendi ilikuwa njema.
Rejeeni thread ya Preta HII-HAPA.
Kikao kilifanyika Jumamosi Eneo la MERU VIEW, na Hadidu Rejea zifuatazo zilikubaliwa na kupitishwa na wana-Wing.
i. Tutakuwa na Safari ya kufunga mwaka, itakayokuwa baada ya X-Mass, na kabla ya Mwaka mpya!
That is kati yatarehe 26-30/12/2012, japokuwa wadau wote walipropose 28-30/12/2012 kuwa ndiyo muafaka kabisa.
ii.Safari ya mwaka huu itakuwa ni kwenda Mkoa wa Tanga ili kwenda kuona vivutio mbalimbali vya utalii, kuanzia Amboni Caves, Pangani, Hale etc, pamoja na mambo mengine mazuri ya Tanga....(Tanga-Kunani pale?)
iii. Safari hii ni wazi kwa members wote wa JF... Kwa wale wanaotaka Dar, Moro na mikoa mingineyo tuwasiliane na kupeana confirmation zenu za kushiriki...Hadi sasa hivi JF Arusha -Wing kuna confirmations 15, kwahivo mambo ni kama tayari yashakolea.
iv. Michango tayari imeshaanza kukusanywa...Kwa ufupi ni kwamba members wote tulikaa na kufanya tathmini ya kugharimia safari hiyo, tukahakiki kuwa kila member kutoka Arusha-Wing anatakiwa kuchanga Tshs 100,000/= tu, ikiwa inacover mambo yote ya Usafiri, Menyu na kulala(kama kutakuwepo!!)
iv. Kwa members wa nje ya Arusha-Wing, gharama zote zitategemea unakotokea.
V.Kwa ufupi ni kwamba safari yetu itaanza rasmi siku ya Ijumaa 28/12/12 ambapo tutafika Tanga na kutembelea vivutio vya jirani vya utalii , then Jumamosi tutatembelea maeneo menginekadha ya nje ya mji, na kurudi kulala town ambapo Jumapili alfajiri tutarusi makwetu.
vi Mipango yote ya muhimu inaendelea kushughulikiwa na professionals wa mambo ya safari, ambapo kwa huku A-Town 50% ya members ni wadau wakuu wa sekta ya Usafirishaji.
Nitaendelea kuweka updates zote za muhimu katika thread hii.
Mwenye swali au ushauri karibuni, uwanja uko wazi.
UPDATE 01.
Waliothibitisha kwenda so far:
1.@Filipo na marejesho
2 Mungi na lilyFlower
3.Blaki Womani na Dark City
4.LiverpoolFC
5.madame B na @PakaJimmy,
6.@Kakakiiza na sweetlady,
7 Smile na Arushaone
8 Erickb52 na Kabakabana
9 Preta na Nicas Mtei