Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Hata hiyo naisikiaga tu mkiiongelea humu. Huku kijijini kwetu hakukuwa na network.
Ooh pole...ni enzi internet age imeanza shika hatamu

Watoto wa shule kutwa kucha wao ilikuwa ni kwenda cafe za internet kwenye chatrooms, wanaochat nao hata hawafahamiani (km jeiefu tu)...
 
Ooh pole...ni enzi internet age imeanza shika hatamu

Watoto wa shule kutwa kucha wao ilikuwa ni kwenda cafe za internet kwenye chatrooms, wanaochat nao hata hawafahamiani (km jeiefu tu)...
Mie internet cafe nilikwenda kutizama matokeo tu.
 
Maana yangu ni kuwa, sisi results zetu hazikuwa zikipitia mitandao...

Nakuachia homework kuwa tulikuwa twajuaje matokeo

Halafu ujue humu kuna wazee wenzangu, unazingua ujue...
Hebu dogo subiri kwanza, ni matokeo gani waongelea na ya nani? Nimesema nilikwenda kuangalia matokeo tu. Ungeuliza yapi au ya nani.
 
Niwemo,niko mbeya,ila nataka iwe tarehe hiyo hiyo na mwaka huo huo
 
Back
Top Bottom