Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
basi Darhotwire
Sijawahi kutumia fesibuku ujue!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kutumia fesibuku ujue!!
Aaah Atoto,ahsante sana.Karibu.
Hata hiyo naisikiaga tu mkiiongelea humu. Huku kijijini kwetu hakukuwa na network.basi Darhotwire
Mbona umecheka kwanza kaka?Aaah Atoto,ahsante sana.
Ooh pole...ni enzi internet age imeanza shika hatamuHata hiyo naisikiaga tu mkiiongelea humu. Huku kijijini kwetu hakukuwa na network.
Nimefurahi kukaribishwa na wewe.Mbona umecheka kwanza kaka?
Ooooh!! Karibu sana.Nimefurahi kukaribishwa na wewe.
Mie internet cafe nilikwenda kutizama matokeo tu.Ooh pole...ni enzi internet age imeanza shika hatamu
Watoto wa shule kutwa kucha wao ilikuwa ni kwenda cafe za internet kwenye chatrooms, wanaochat nao hata hawafahamiani (km jeiefu tu)...
Hatimaye leo nimekukamata, hahah utakuwa ushaelewa...Mie internet cafe nilikwenda kutizama matokeo tu.
Sasa ulifikiri mimi mtoto mwenzio?[emoji1787][emoji1787]Hatimaye leo nimekukamata, hahah utakuwa ushaelewa...
Sasa ulifikiri mimi mtoto mwenzio?[emoji1787][emoji1787]
Hebu dogo subiri kwanza, ni matokeo gani waongelea na ya nani? Nimesema nilikwenda kuangalia matokeo tu. Ungeuliza yapi au ya nani.Maana yangu ni kuwa, sisi results zetu hazikuwa zikipitia mitandao...
Nakuachia homework kuwa tulikuwa twajuaje matokeo
Halafu ujue humu kuna wazee wenzangu, unazingua ujue...
Niwemo niko mbeya
Rudisheni mwaka huo nyumaHuu uzi wa zamani wewe...
Tanga tulishakwenda tulifika Amboni, Tanga mjini na Pangani...
Rudisheni mwaka huo nyuma
AseeHuu uzi wa zamani wewe...
Tanga tulishakwenda tulifika Amboni, Tanga mjini na Pangani...