Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma ramani nimeona tayari Blaki Womani keshaenda kwa bepari la kihaya Ruttashobolwa lakini haina shida bado sipumulii drip.
Erickb52 naona kama unabeep badala ya kupiga, Preta namshangaa ni kama anajifanya haoni offer ya Mr Rocky!!!! Hapo sasa Mungi kama kachanganyikiwa tangu agundue siasa haina dili, hajua ang'oke na nani yaani yeye wote wazuri tu!!!
Madame B baada ya kuelewa ratiba nzima hana wasiwasi hajui kama PakaJimmy hatabadilika baada ya kumuona cacico, Kipipi bila kujali wa awali ni awali maana wakina Asprin aka babu wao ni wazoefu watatumia uzoefu kuushangaza umma.
Finest yuko busy kama Bush alivyokuwa anamsaka Osama!!! Bigirita ndiyo kama kasusa kabisa maana mpaka saizi hajasema lolote!!!! FirstLady yeye ni kama mkoloni kamnyima ruksa na hivyo anaona uchungu hata kupitia uzi huu.
Jamani WiseLady kwa kweli tumekumiss wakati ukija kuhesabiwa usikose kupitia pande hizi bila kumsahau jemedali Kimey ambaye siku hizi yupo kama hayupo.
Wakongwe kama Bishanga sijui kaona dalili ya kilala doro, mbona kimya???
Back to Filipo anahangaika kuimarisha lindo kwa marejesho tangu apewe angalizo la vipanga kuwepo!!!!
Lily Flower beat la Mungi limemtouch na kutepeta tehe tehe.
Unachekesha lol. Mungi anitupe mimi? Hehehehe! Mchukue Mwita Maranya nasikia hajafanyiwa booking
Weeeee stop, ishia hapo hapo sweetlady.
Lily Flower ni dada yangu kipenzi cha kufa na kuzikana. Huoni ninavyomlinda na walugaluga!!?
Kwa taarifa yako nimeshabukiwa zamaaniii, au unataka nimtaje? kwakuwa umetoswa na Mungi nachoweza kukusaidia ni kukukonekti na wale walio availabo hadi usawa huu.
Crashwise majukumu yamembana sana naona siku hizi. Loner bana kama Kakakuona, yaani ni bahati kumuona.Sawa mkuu lakini angalia usije ukampatia majukumu makubwa kuliko uwezo wake, bado tunamhitaji sana.
Mmempeleka wapi best yangu Loner?...... Kumbe kuokoka kuzuri hivyo eenh? wapi Mzee wa Rula? Crashwise naye kimya au mmemtenga katika safari hii?
Lily Flower hiyo ni dalili ya wazi kwamba sasa sweetlady amekubali kushindwa kumg'oa Mungi kwahiyo amechanganyikiwa hata hajui afanyeje, amebaki kushuhudia maneno ya kuambiwa.Hapo kwenye red wewe wasema, alafu usipende maneno ya kuambiwa shuhudia sweetlady.
We nae ntakuacha sasahivi nimbuku Mzee wa Rula, huna siri? Mie nakunong'oneza wewe unapiga makelele!
sweetlady ushindwe mwenyewe kuvuka mto, maji yenyewe ya ugoko haya.
Nimesikia Ruttashobolwa anataka kutia timu chuga ajifanye naye wa huku................ hebu fanya buking haraka.... manake nasikia amebakiza nafasi moja
Hao vijana wa maneno mengi.......you are too damn good for them.
I am just sending a message....they should back off.
Nime kwenye Dar-express hapa natia timu leo alaf kesho nitakuwa na kikao na lilyflower,black women maana hawa warembo nisipo wajali mimi huko Arusha hakuna wakuwajali lasivyo mtawaangusha bure kule ufukweni Tanga!
Bora mie sijasema hala hala Ruttashobolwa.
hawawezi.......amin amin nakuambia, hata safari ya Tanga itakapowadia, watakuwa wanashangaa shangaa tu na maneno yao mengi!Ungeandika na rangi nyeupe maana hawa majaama watakuangukia sasa hivi mie simo tena nalog out kabisa.