Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Nipeni mchakato mzima, ili nione uwezekano wa kujoin hako ka trip bana
 
Mimi nipo na marejesho wangu nawaangalia tu mnavyohangaika kupata wenza!
Kupendwa raha sana Mungi. Si unaona sweetlady anavyohangaika! Kukataliwa kubaya ati! Hadi Mwita Maranya amemkataa!? sweetlady anakutana na adha ya kuwa nyumba ndogo. Hadi nitonye amemchunia. Huenda nae amepanga kuja na mke wake! Lol...
Hahahahaha Filipo umeamua kunidhalilisha mbele ya umma wa wana jf? ... Kwa taarifa yako mie na Mungi hakunaga kama sisi lol...afu mwambie PakaJimmy kuwa sweetlady na Mungi atutoe kwenye usafiri na malazi, tutatangulia kivyetu siku mbili kabla, tutakutana mapangoni tu!
 
Last edited by a moderator:
Nipeni mchakato mzima, ili nione uwezekano wa kujoin hako ka trip bana

jombaa mchakato mzima si huo hapa umeainishwa na mtoa uzi.....unataka nini tena.......au huna pea....?
 
Hahahahaha Filipo umeamua kunidhalilisha mbele ya umma wa wana jf? ... Kwa taarifa yako mie na Mungi hakunaga kama sisi lol...afu mwambie PakaJimmy kuwa sweetlady na Mungi atutoe kwenye usafiri na malazi, tutatangulia kivyetu siku mbili kabla, tutakutana mapangoni tu!

hah hah hah hah hah!! nitonye amekutotosa umemganda Mungi kama luba! Kazi unayo mwaka huu! Bora mimi nipo na my wife wangu marejesho tunapanga tutawaachaje housegirl na houseboy! Hawakawii kunatiana kitandani kwetu! Lol
 
Last edited by a moderator:
atakaa sana! Mwaka huu so kiiiiivo!!! Akileta zipi tumamfanya "hamna!". Hah hah hah hah Bigirita! Tutakupa cha Arusha ukaokote Chumbageni!!!

Kwanza, nyie mnaoleta habari za kung'ang'nia"........kumbukeni sharing is caring.
Mimi nawakilisha chama la Town....na mabadiliko ya Kimfumo yatawakumba tu.

Kuna mtu atakuwa ana organize hizo trip from Dar next year....this is very serious, kwahiyo vijana msibane sana, ni mabadiliko ya kimfumo tu.
 
Last edited by a moderator:
Lily Flower mbona tayari amesha bukiwa na Mungi!? Usichezee bahati dada! nitonye amesha kutosa. Labda useme na Vin Diesel angalau upashe kiporo! Si unajua hakihitaji moto mwingi? Na maji hayasahau baridi! Hata ukiyapasha, yatapoa tu! Lol...
Kwa Vin Diesel sirudi hata nikiahidiwa nchi lol. Afu ukome kumsemea Mungi manake mie na yeye hatujakutana barabarani! Yakwakwo yamekushinda ya kwetu utayaweza?, huku wajidai marejesho huku wanitumia PM!
 
hah hah hah hah hah! Una story kama za JK! Hapa tunazungumzia safari ya mwaka huu. Mwakani wake zetu watakuwa wajawazito. Labda next next year!
 
tayari marejesho kanihakikishia kampani ya karibu sana. I will be there.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom