Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha Filipo umeamua kunidhalilisha mbele ya umma wa wana jf? ... Kwa taarifa yako mie na Mungi hakunaga kama sisi lol...afu mwambie PakaJimmy kuwa sweetlady na Mungi atutoe kwenye usafiri na malazi, tutatangulia kivyetu siku mbili kabla, tutakutana mapangoni tu!Mimi nipo na marejesho wangu nawaangalia tu mnavyohangaika kupata wenza!
Kupendwa raha sana Mungi. Si unaona sweetlady anavyohangaika! Kukataliwa kubaya ati! Hadi Mwita Maranya amemkataa!? sweetlady anakutana na adha ya kuwa nyumba ndogo. Hadi nitonye amemchunia. Huenda nae amepanga kuja na mke wake! Lol...
Nipeni mchakato mzima, ili nione uwezekano wa kujoin hako ka trip bana
Hahahahaha mwambie Lily Flower hana mwenza hivyo anaweza kujisogezeshajombaa mchakato mzima si huo hapa umeainishwa na mtoa uzi.....unataka nini tena.......au huna pea....?
Hahahahaha mwambie Lily Flower hana mwenza hivyo anaweza kujisogezesha
atakaa sana! Mwaka huu so kiiiiivo!!! Akileta zipi tumamfanya "hamna!". Hah hah hah hah Bigirita! Tutakupa cha Arusha ukaokote Chumbageni!!!
jombaa mchakato mzima si huo hapa umeainishwa na mtoa uzi.....unataka nini tena.......au huna pea....?
Kwa Vin Diesel sirudi hata nikiahidiwa nchi lol. Afu ukome kumsemea Mungi manake mie na yeye hatujakutana barabarani! Yakwakwo yamekushinda ya kwetu utayaweza?, huku wajidai marejesho huku wanitumia PM!Lily Flower mbona tayari amesha bukiwa na Mungi!? Usichezee bahati dada! nitonye amesha kutosa. Labda useme na Vin Diesel angalau upashe kiporo! Si unajua hakihitaji moto mwingi? Na maji hayasahau baridi! Hata ukiyapasha, yatapoa tu! Lol...
Kwanza, nyie mnaoleta habari za kung'ang'nia"........kumbukeni sharing is caring.
Mimi nawakilisha chama la Town....na mabadiliko ya Kimfumo yatawakumba tu.
Kuna mtu atakuwa ana organize hizo trip from Dar next year....this is very serious, kwahiyo vijana msibane sana, ni mabadiliko ya kimfumo tu.
Kwa Vin Diesel sirudi hata nikiahidiwa nchi lol. Afu ukome kumsemea Mungi manake mie na yeye hatujakutana barabarani! Yakwakwo yamekushinda ya kwetu utayaweza?, huku wajidai marejesho huku wanitumia PM!Lily Flower mbona tayari amesha bukiwa na Mungi!? Usichezee bahati dada! nitonye amesha kutosa. Labda useme na Vin Diesel angalau upashe kiporo! Si unajua hakihitaji moto mwingi? Na maji hayasahau baridi! Hata ukiyapasha, yatapoa tu! Lol...
hah hah hah hah hah! Una story kama za JK! Hapa tunazungumzia safari ya mwaka huu. Mwakani wake zetu watakuwa wajawazito. Labda next next year!
Kwa Vin Diesel sirudi hata nikiahidiwa nchi lol. Afu ukome kumsemea Mungi manake mie na yeye hatujakutana barabarani! Yakwakwo yamekushinda ya kwetu utayaweza?, huku wajidai marejesho huku wanitumia PM!
Piemu tunaambiana zaidi ya hii lol. Hupitwi?hah hah hah hah hah! Hii ilitakiwa kuwa pi emu!
hah hah hah hah hah! Una story kama za JK! Hapa tunazungumzia safari ya mwaka huu. Mwakani wake zetu watakuwa wajawazito. Labda next next year!