Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Taratibu Mkuu! Mbona povu linakutoka namna hiyo? Kwani ile booking umeikanseli?
Mshenzi maana yake Mbayaaaaaaaaaaaaaaa!
We mbayaaaaaaaaaaaa!!!!
We jamaa mbayaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Pal pozi gani linaharibiwa? Wewe si umeona hapo mzee karipoti anafanya logistics? Lol Filipo usiogope huyu na mikwara yake hewa. Wewe endelea kumlipua tu!

Kumbe yenyd ndiye mshenzi!? Anaita wake za watu Darling? Tena wewe PakaJimmy ukome kabisa!! Nisikusikie unamwita my wife wangu marejesho hivyo?
 
Last edited by a moderator:
@ PakaJimmy Akiwa Bagamoyo!!! Kuna usalama kweli? Huko si wzoefu wa vipapai wako??
 
@ PakaJimmy Akiwa Bagamoyo!!! Kuna usalama kweli? Huko si wzoefu wa vipapai wako??

ila shosti umepotea.....khaaa!!.....hata njiani hatukutani tena.....umehama city.......?
 
Wooooooow! Bora umejitokeza mapema nilikuwa nitembeze msako Arusha nzima ninge anzia Unga litd kwa ErickB52, ninge teremka hadi kwa Mromboo kwa Mungi na hakika wote wange ozea selo!

nipo love nimekumic sana ujue Arushaone ameomba msamaha nimemtoa kwenye kale kachupa umemwona lakini usijali ninawalinzi Filipo na PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red ungeandika na rangi nyeupe Mungi asione lakini for shua hajaona hii kitu, usijali nitakubukia siti jirani kabisa na mimi.

Eti nani ananiita? Ncha kama unataka kwenda selo fanya ubukiwe na Lily Flower........................... halafu na we Lily Flower unafanya mambo gani bana wakati unajua sweetlady yupo kwenye corner anantega?
 
Last edited by a moderator:
Eti nani ananiita? Ncha kama unataka kwenda selo fanya ubukiwe na Lily Flower........................... halafu na we Lily Flower unafanya mambo gani bana wakati unajua sweetlady yupo kwenye corner anantega?

naogopa selo balaa ila najua Lilyflower anaweza panga karata zake sawa sawa, huyo ni wa A mjini!! Tunamweka kati, haina shaka
 
Eti nani ananiita? Ncha kama unataka kwenda selo fanya ubukiwe na Lily Flower........................... halafu na we Lily Flower unafanya mambo gani bana wakati unajua sweetlady yupo kwenye corner anantega?
Hahahahahaha! Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidiii.....najua mtu halazimishwi kupendaaaa, anapenda mwenyeweee basi usinikuzishie kidondaaa wakati wajua dawa ni weweee!

Bado nipo kwenye kona sweetheart Mungi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom