Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Hahahaha ! PakaJimmy mie Filipo nishamtosa zamani sana ila namshangaa yeye anashindwa kunisahau!
Achana nae bana!
Kwa hapa A-Town tu, nawajua wachumba wake 13, sijajua mikoa mingine na hasa kule Singida alikoanzia kazi!...na si unawajua wanawake wa Singida walivyo vinga'ANG'ANIZI!...!
 
Achana nae bana!
Kwa hapa A-Town tu, nawajua watu wake 13, sijajua mikoa mingine na hasa kule Manyara alikoanzia kazi!
Hahahaha! Manyara nasikia wako 8 ... Bado kule rombo mashati hatujajua lol. Nimemwacha asee, ataniua wakati mwenzie hata sijamaliza kuota meno!
 
Hahahaha! Hapana bana, nimeota tuko tunashangilia eti Lema karudishiwa ubunge

Hiyo ndoto ina ukweli aisee sweetlady! Enhee tulikuwa room # ngapi ya hoteli ipi mamii? Na kwenye lile gate kali ulitokaje? Endelea...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom