Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Mungu akipenda tutakuwa wote.Hope my plans dont change.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha! Una hamu ya makofi wewe eeh
Mungu akipenda tutakuwa wote.Hope my plans dont change.
Hela atazipata wapi?
BTW serious me nahitaji kwenda.
Na vp mpango wa Kulala,pea pea au singosingo?
Ni nzuri' sana, na inapendeza ile mbaya Jamani watu mjitokeze kwani hata gharama ni nafuuu
Unitue safari yako na nani?
Me nishawekewa oda na PakaJimmy
Achana na huyo paka' njoo ce watatukuta mkonge hotel tunakula vyetu mh!
Hv tumemalizana kwenye PM?
Hebu njoo.
Haya nakuja Boss
Poa Poa.
Mbona sikuoni! au ndio mida yenu imefika nini? Maana leo ni j.pili
Waaaaaaaaaait
Madame B hebu nitafutie wa kua nae siku hiyo
Hahahaha! Jipe moyo mama.
Huyu ndio mnamuona dalali? Kwani we ni she?
Hakika nitashinda!!
We udalali unauweza?
SemenyaJibu kwanza wewe ni She or He