Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

Umenifurahisha sana darling!! Nimecheka mwenyewe mpaka baasi!!

BTW kipindi kile wewe ulikuwa masomoni Ujerumani.:target:

ndio ukajiachia kiasi kile? Wallah safari ya mwanza, mguu wako mguu wangu mpaka Rock city nimechoka kusikia vituko vyako darling
 
Back
Top Bottom