Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Unafikiri hatujui basi
Yanga atafunga goli moja
Kisha litakataliwa kuwa ni Offside.
Kisha mvua kubwa itanyesha mpaka kusimama mpira/vurugu itafanyika uwanjani...
Ila hayo ni kabla ya wazee kulifanyia kazi ila mpaka jioni jambo litakuwa limerekebishwa..
Simba punguzeni kuwavurugia wenzenu.
 
Ujuaji mwingi kichwani hakuna kitu, shingo yako inaumia kubeba hilo fuvu
 
Badilisheni makalumanzila wenu wanawalia hela zenu bure tu
 
Pole. Vipi hapo?
 
Umempa mle mle na imejibi vile vile
 
NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…