Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Hahaaa!
Mdau inaonekana ushabiki umekukaa Sana na hizi timu zinakutesa.
Pia nimegundua Hawa wasemaji wa timu zetu hizi wanapoongea na kutamba wanawakwaza Sana Mashabiki wa upande wa pili.

Kama unafikiri upo katika kilele Cha furaha baada ya Simba kutoa draw usiku wa Jana basi unajidanganya.

USILOLIJUA NI KWAMBA:
Nafasi ya Simba kupenya hatua ya robo fainali itategemea mechi ya mwisho kabisa(VS Jwaneng).
Ugumu wa mechi hiyo ya mwisho upo hapa.
1. Jwaneng wananafasi ya kufuzu hata Kama watapoteza point 3 za leo. Mkononi ana point 4 anajua akiwafunga atakua na point 7.

2. Wydad wanasubiri michezo yote miwili waliyobakiza. Kama watashinda yote watakua na points 9.

Kutokana na mambo hayo hapo mawili pia wewe Kama shabiki lialia wa Simba unapaswa ubakize akiba ya kejeri mpaka utapo win mechi ijayo utayocheza na Jwaneng pale Lupaso.

Kwa upande wa watani zako
USILOLIJUA NI KWAMBA:

Kwa mujibu wa kanuni za CAF
1. Leo hii Kama Yanga watashinda ushindi wowote wa tofauti ya magori manne(4) basi wataanza kushangilia kwa kufuzu hatua ya robo fainali pasipo kutazama matokeo mengine katika kundi lao.
(Timu zinapolingana points Jambo la Kwanza wanaangalia timu hizi zilipokutana, nani kamfunga mwenzake goli nyingi na kuruhusu chache.)

2. Ushindi wa goal 3-0 kwa Yanga watahitaji wakapate goal moja tu ili wafuzu hata Kama watafungwa goli 10 katika mechi hiyo kule Misri.

Ugumu unaouona kwa mtani na kwako upo pia. Mpira unachezwa uwanjani lolote linaweza tokea.

MPIRA NI BURUDANI UTANI WA WASEMAJI USITUKOSESHE FURAHA.
Nawasilisha.
Shikamoo Kaka
 
Mkuu mpira ni hesabu, kama Makolo hesabu zimejibu hivyo, basi subiri uzione za mtani wako. Hiki siyo kipindi cha kupandisha mihemuko ama kutindikiwa na hisia kali, na ukizingatia joto lilivyokuwa kali hapa jijini.
Genta, nafikiri kupitia mchezo wa jana, hesabu zake ulijionea na kuzithibisha wewe mwenyewe. Siku zote kumbuka kuwa Wananchi huwa hawabahatishi.
 
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC mliowaokota hivi majuzi.

Wenzenu wenye Akili, waliowazidi Mafanikio katika CAFCL na Waliofanikiwa Kimahesabu jana kwa akina Didier Droga walikuwa Kimya huku Wakijipanga Kimkakati na hatimaye Wameokota Alama Moja muhimu kama Lengo Kuu lilivyokuwa la kutaka Kushinda ili kupata Alama 3 au kutoka Sare / Suluhu ili kupata Alama 1 na siyo Kufungwa.

Jidanganyeni tu kuwa Uchawi wa Kufuru mlioufanya tokea Jumatano hadi Alfajiri hii pale Lupaso Stadium Temeke na Kumalizana kimya kimya na Pilato wa Mtanange wa Leo kupitia Mwandamizi Mmoja wa Shirikisho mwenye DNA ya Kuwashabikia ndiyo kutawasaidia na Mtashinda.

Na GENTAMYCINE najua leo ndiyo mtaenda Kuvurugana, Kugombana, kutafutana Uchawi, Kulaumiana na kumkataa kabisa Muajentina anayesafiria Nyota ya Mtunisia aliyeko Kazini sasa huko nchini Morocco kwani kwa 50% mtafungwa au kwa 50% mtabahatisha tu Sare / Suluhu ila hamtoshinda japo kutokana na Ujuha wenu na Viongozi wenu Kuwadanganya kwa kuwajua kuwa ni Mazuzu ( Majuha ) Kiasili wameshawaaminisha kuwa leo iwe isiwe mtashinda tu wakati wenye Kuujua Mpira, Mbinu zake na Mikakati yake akina GENTAMYCINE tunajua kuwa leo ndiyo mwisho wa Safari yenu CAFCL kabla hamjaenda Kufia mazima kwa Mwarabu Farao ambaye Kwao / Kwake huwa hamuachi Mtu hata kama anaona ameshafuzu Kimalengo kwa hatua nyingine.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Sasa matusi yote hayo ya nini?
 
1708846726391.png

Na mechi nyingine mlisimamisha kisa mcheze ligi ya mabingwa..!! Wenzenu tuliendelea huku na huko na wengine wakalishwa 5 kama zenu na bado waarabu wameliwa vile vile..!!
 
MAJINI FC jana yalipuka shangwe mara baada ya Al Ahly kupata Ushindi kwàmba yatapata mseleleko kule Misri.kuna sababu kama mbili kuwa mechi yao dhidi Al Ahly haitakuwa nyepesi.
1.Waarabu wanapendana sana hawatakubali Nyani FC wakipenya kupitia wao.
2.Ukanda wa Kaskazini una Chama chao cha Mpirà hawakubali ukanda wao unapeleka Timu chache kwà sabàbu ya kuwapa MAJINI FC kuingia 4/8 fainali hili halitakubali hata kidogo.
3.Al Ahly watalinda heshima yao kutoruhusu kufungwa ama Kutoa sare na Chamanyani FC by Ey Eyamel
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Simba SC
Maaatraaaakhø weee
 
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC mliowaokota hivi majuzi.

Wenzenu wenye Akili, waliowazidi Mafanikio katika CAFCL na Waliofanikiwa Kimahesabu jana kwa akina Didier Droga walikuwa Kimya huku Wakijipanga Kimkakati na hatimaye Wameokota Alama Moja muhimu kama Lengo Kuu lilivyokuwa la kutaka Kushinda ili kupata Alama 3 au kutoka Sare / Suluhu ili kupata Alama 1 na siyo Kufungwa.

Jidanganyeni tu kuwa Uchawi wa Kufuru mlioufanya tokea Jumatano hadi Alfajiri hii pale Lupaso Stadium Temeke na Kumalizana kimya kimya na Pilato wa Mtanange wa Leo kupitia Mwandamizi Mmoja wa Shirikisho mwenye DNA ya Kuwashabikia ndiyo kutawasaidia na Mtashinda.

Na GENTAMYCINE najua leo ndiyo mtaenda Kuvurugana, Kugombana, kutafutana Uchawi, Kulaumiana na kumkataa kabisa Muajentina anayesafiria Nyota ya Mtunisia aliyeko Kazini sasa huko nchini Morocco kwani kwa 50% mtafungwa au kwa 50% mtabahatisha tu Sare / Suluhu ila hamtoshinda japo kutokana na Ujuha wenu na Viongozi wenu Kuwadanganya kwa kuwajua kuwa ni Mazuzu ( Majuha ) Kiasili wameshawaaminisha kuwa leo iwe isiwe mtashinda tu wakati wenye Kuujua Mpira, Mbinu zake na Mikakati yake akina GENTAMYCINE tunajua kuwa leo ndiyo mwisho wa Safari yenu CAFCL kabla hamjaenda Kufia mazima kwa Mwarabu Farao ambaye Kwao / Kwake huwa hamuachi Mtu hata kama anaona ameshafuzu Kimalengo kwa hatua nyingine.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Nadhani sasa umeshamjua asiye na akili
 
Back
Top Bottom