Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Shikamoo Kaka
 
Mkuu mpira ni hesabu, kama Makolo hesabu zimejibu hivyo, basi subiri uzione za mtani wako. Hiki siyo kipindi cha kupandisha mihemuko ama kutindikiwa na hisia kali, na ukizingatia joto lilivyokuwa kali hapa jijini.
Genta, nafikiri kupitia mchezo wa jana, hesabu zake ulijionea na kuzithibisha wewe mwenyewe. Siku zote kumbuka kuwa Wananchi huwa hawabahatishi.
 
Sasa matusi yote hayo ya nini?
 

Na mechi nyingine mlisimamisha kisa mcheze ligi ya mabingwa..!! Wenzenu tuliendelea huku na huko na wengine wakalishwa 5 kama zenu na bado waarabu wameliwa vile vile..!!
 
Maaatraaaakhø weee
 
Nadhani sasa umeshamjua asiye na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…