Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Uliona mbali sana .
 
Ulichambua kitaalam sana.
 
Juha la kwanza hili hapa limeaibika. Unashiba njugu mawe halafu unaleta Uzi wa kijinga. ***** zako
 
Tusimtukane gentamycin,alitumia demokrasia yake kusema hayo,tumemuonesha kuwa yanga ni hatari,basi tuongee nae kwa ustaarabu tu,kwa njia hiyo tunaweza kumgeuza akawa mwananchi
 
Aliyeumbuka Hapa Ni Popoma Wewe Ambaye Unakurupuka Sasa Ona Yaliyokutokea.


Kila Siku Nakwambia Punguza Wivu Na Ramli Hizo Zitakuja Kukusababishia Matatizo.


Unaandika Uzi Kupata Sare Unasheherekea Kabisa Badala Usikitike Umepoteza Point 2.

Hapo Taifa Weekend Ijayo Ndio Tutaona Majuha Mnavyotia Aibu.


Punguza Ramli Na Upopoma.

This Is Dar Young Africans Mabingwa Hao To Final.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Huyo Mbumbumbu FC Timu Yake Ina Wavuruga. Inahitaji Uvumilivu Sana Kuangalia Mpira Huku Ukitegemea Saidoo Kukupeleka Hatua Inayofuata
Kiongozi ,

Unapoanzisha uzi acha watu wachangie ,Usitake kujibu kila mtu unapoteza mvuto wa uzi wako

Kila sekunde una reply ,Lengo lako uzi uonekane una wachangiaji wengi au ?

Unauliza jambo na kujijibu mwenyewe
 
Mkuu mpira ni hesabu, kama Makolo hesabu zimejibu hivyo, basi subiri uzione za mtani wako. Hiki siyo kipindi cha kupandisha mihemuko ama kutindikiwa na hisia kali, na ukizingatia joto lilivyokuwa kali hapa jijini.
Huyu jamaa mnampaisha sana ila hakuna anacho jua kuhusu Mpira,
 
Karibu Jangwani This Is Dar Young Africans Mabingwa Road To Final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…