Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Bumunda umeumbuka.
Tumewakandamiza manne.
Jipange maana Kama polisi walivyokula tano, waarabu 4 nadhani trend unaisoma.
 
Nlivoona tu mtoa mada Gentromycine nikajua tu uzi ni wakipuuzi nikapita kushoto
 
Tujifunze kuweka akiba ya maneno, tusiseme tukamaliza. Football ina matokeo ya kushangaza sana, Yanga walijitafuta mda mrefu na sasa wamejipata, Hongera kwao
Huyo ni mjukuu wa Rage si unaona hata uandishi wake. Humu ana ID kama 20 hivi. Yeye huwa anazibadilisha tu. Jana kapost nyuzi si chini ya 50 kwa ID tofauti baada ya Yanga kuwafunga hao waarabu.
 
VIPI UNAJISIKIAJE SAIZI NA HICHO CHAMA CHAO, MASHABIKI WA SIMBA NIWATU WAPUMBAVU SANA MNAANDIKAGA KWA MIHEMKO MKIDHANI MPO SMART KICHWANI KUMBE NIWAPUMBAVU WKUTUPWA. ONA ULICHOKIANDIKA NA MATOKEA YALIVYO NA IWE FUNDISHO!! MUACHE UPUMBAVU.
 
Popomer popomer.
 
Kuchambua soka kwa njia ya kubet sio sahihi hata kidogo
 
Mkuu mpira ni hesabu, kama Makolo hesabu zimejibu hivyo, basi subiri uzione za mtani wako. Hiki siyo kipindi cha kupandisha mihemuko ama kutindikiwa na hisia kali, na ukizingatia joto lilivyokuwa kali hapa jijini.
Kumbe kweli ni upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…