Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

Bumunda umeumbuka.
Tumewakandamiza manne.
Jipange maana Kama polisi walivyokula tano, waarabu 4 nadhani trend unaisoma.
 
Nlivoona tu mtoa mada Gentromycine nikajua tu uzi ni wakipuuzi nikapita kushoto
 
Tujifunze kuweka akiba ya maneno, tusiseme tukamaliza. Football ina matokeo ya kushangaza sana, Yanga walijitafuta mda mrefu na sasa wamejipata, Hongera kwao
Huyo ni mjukuu wa Rage si unaona hata uandishi wake. Humu ana ID kama 20 hivi. Yeye huwa anazibadilisha tu. Jana kapost nyuzi si chini ya 50 kwa ID tofauti baada ya Yanga kuwafunga hao waarabu.
 
MAJINI FC jana yalipuka shangwe mara baada ya Al Ahly kupata Ushindi kwàmba yatapata mseleleko kule Misri.kuna sababu kama mbili kuwa mechi yao dhidi Al Ahly haitakuwa nyepesi.
1.Waarabu wanapendana sana hawatakubali Nyani FC wakipenya kupitia wao.
2.Ukanda wa Kaskazini una Chama chao cha Mpirà hawakubali ukanda wao unapeleka Timu chache kwà sabàbu ya kuwapa MAJINI FC kuingia 4/8 fainali hili halitakubali hata kidogo.
3.Al Ahly watalinda heshima yao kutoruhusu kufungwa ama Kutoa sare na Chamanyani FC by Ey Eyamel
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Simba SC
VIPI UNAJISIKIAJE SAIZI NA HICHO CHAMA CHAO, MASHABIKI WA SIMBA NIWATU WAPUMBAVU SANA MNAANDIKAGA KWA MIHEMKO MKIDHANI MPO SMART KICHWANI KUMBE NIWAPUMBAVU WKUTUPWA. ONA ULICHOKIANDIKA NA MATOKEA YALIVYO NA IWE FUNDISHO!! MUACHE UPUMBAVU.
 
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC mliowaokota hivi majuzi.

Wenzenu wenye Akili, waliowazidi Mafanikio katika CAFCL na Waliofanikiwa Kimahesabu jana kwa akina Didier Droga walikuwa Kimya huku Wakijipanga Kimkakati na hatimaye Wameokota Alama Moja muhimu kama Lengo Kuu lilivyokuwa la kutaka Kushinda ili kupata Alama 3 au kutoka Sare / Suluhu ili kupata Alama 1 na siyo Kufungwa.

Jidanganyeni tu kuwa Uchawi wa Kufuru mlioufanya tokea Jumatano hadi Alfajiri hii pale Lupaso Stadium Temeke na Kumalizana kimya kimya na Pilato wa Mtanange wa Leo kupitia Mwandamizi Mmoja wa Shirikisho mwenye DNA ya Kuwashabikia ndiyo kutawasaidia na Mtashinda.

Na GENTAMYCINE najua leo ndiyo mtaenda Kuvurugana, Kugombana, kutafutana Uchawi, Kulaumiana na kumkataa kabisa Muajentina anayesafiria Nyota ya Mtunisia aliyeko Kazini sasa huko nchini Morocco kwani kwa 50% mtafungwa au kwa 50% mtabahatisha tu Sare / Suluhu ila hamtoshinda japo kutokana na Ujuha wenu na Viongozi wenu Kuwadanganya kwa kuwajua kuwa ni Mazuzu ( Majuha ) Kiasili wameshawaaminisha kuwa leo iwe isiwe mtashinda tu wakati wenye Kuujua Mpira, Mbinu zake na Mikakati yake akina GENTAMYCINE tunajua kuwa leo ndiyo mwisho wa Safari yenu CAFCL kabla hamjaenda Kufia mazima kwa Mwarabu Farao ambaye Kwao / Kwake huwa hamuachi Mtu hata kama anaona ameshafuzu Kimalengo kwa hatua nyingine.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Popomer popomer.
 
Kuchambua soka kwa njia ya kubet sio sahihi hata kidogo
 
Mkuu mpira ni hesabu, kama Makolo hesabu zimejibu hivyo, basi subiri uzione za mtani wako. Hiki siyo kipindi cha kupandisha mihemuko ama kutindikiwa na hisia kali, na ukizingatia joto lilivyokuwa kali hapa jijini.
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC mliowaokota hivi majuzi.

Wenzenu wenye Akili, waliowazidi Mafanikio katika CAFCL na Waliofanikiwa Kimahesabu jana kwa akina Didier Droga walikuwa Kimya huku Wakijipanga Kimkakati na hatimaye Wameokota Alama Moja muhimu kama Lengo Kuu lilivyokuwa la kutaka Kushinda ili kupata Alama 3 au kutoka Sare / Suluhu ili kupata Alama 1 na siyo Kufungwa.

Jidanganyeni tu kuwa Uchawi wa Kufuru mlioufanya tokea Jumatano hadi Alfajiri hii pale Lupaso Stadium Temeke na Kumalizana kimya kimya na Pilato wa Mtanange wa Leo kupitia Mwandamizi Mmoja wa Shirikisho mwenye DNA ya Kuwashabikia ndiyo kutawasaidia na Mtashinda.

Na GENTAMYCINE najua leo ndiyo mtaenda Kuvurugana, Kugombana, kutafutana Uchawi, Kulaumiana na kumkataa kabisa Muajentina anayesafiria Nyota ya Mtunisia aliyeko Kazini sasa huko nchini Morocco kwani kwa 50% mtafungwa au kwa 50% mtabahatisha tu Sare / Suluhu ila hamtoshinda japo kutokana na Ujuha wenu na Viongozi wenu Kuwadanganya kwa kuwajua kuwa ni Mazuzu ( Majuha ) Kiasili wameshawaaminisha kuwa leo iwe isiwe mtashinda tu wakati wenye Kuujua Mpira, Mbinu zake na Mikakati yake akina GENTAMYCINE tunajua kuwa leo ndiyo mwisho wa Safari yenu CAFCL kabla hamjaenda Kufia mazima kwa Mwarabu Farao ambaye Kwao / Kwake huwa hamuachi Mtu hata kama anaona ameshafuzu Kimalengo kwa hatua nyingine.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Kumbe kweli ni upinde
 
Back
Top Bottom