Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa branch zote? Hii ni kawaida au teller kanibania?
Wenye uzoefu mnishauri
Wenye uzoefu mnishauri