Nenda kwa teller unaemfahamu hapo kama kila kitu kipo sawa ni dakika tu ishanitokea sana .ila matellers wengine ni watu poa.alafu pia mwambie sender akutumie notification wakati anatuma kuna sms inaingia kwa namba yake ambayo ipo hewan .akautumie hiyo na umuonyeshe teller akikataa hadi hiyo basi teller huyo atakuwa na nongwa tu.Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa branch zote? Hii ni kawaida au teller kanibania?
Wenye uzoefu mnishauri
Badili tawiNimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa branch zote? Hii ni kawaida au teller kanibania?
Wenye uzoefu mnishauri
Hapo ndipo napenda payoneer, yani hata mtu aandike jina lolote ilimradi account ya bank kapatia pesa inasoma bila shida kama malipo yamefanyika account ya marekani au umoja wa ulayaNdio maswala banking wako makini sana, hata kama herufi imekosewa, ila kesho asubuhi jaribu bank ya posta au nyingine. Ikishindikana wasiliana na Muhusika akarekebishe au atume kwa Send waves pesa iingie kwenye simu
Eh kwa moshi wako wapi? Tofauti na dtb na kcb Mgagaa na UpwaNenda kwa mawakala wa western mitaani uwaga wanazingatia mtcn,kiasi n.k
Kwa moshi sijajua,ila jaribu kucheck town uwa ndio hao hao mawakala wa mitandao ya simu na mabank,wengine wana money gram na wuEh kwa moshi wako wapi? Tofauti na dtb na kcb Mgagaa na Upwa
Hahaha Ila pale kcb moshi, yule mdada mweupe mwenye meno yaliyoungua anajambia mbali , siku ingine ukienda pale mchek vizuri shep yake Mtoto halali na helaItakua umeenda KCB kuna teller wasiotaka kusikiliza wateja