Alitaja za Westy, sio za CBD
Unabisha nn Au ww hukesha kwenye majukwaa ya udaku?uliza collohmzii reloadedHatujawai leta humu CBD v Posta ama Upper hill V Posta. Acha kujitungia hekaya za Abunuwasi.
Nimesema kulingana na post yako v ile ya seven up, Westy iko mbele. Ebu itazame vyema ndio uongee.
Mko nayo moja!!central business districtDo Tanzanians know the meaning of a CBD?
Weka picha Susan wacha domo domo.Posta ni zaidi ya westy,upper divi ,CBD yenu kua unabisha leta moja moja nikupe za Uso
We know your city like the tip of my finger ...no need to repost picturesWeka picha Susan wacha domo domo.
We know your city like the tip of my finger ...no need to repost pictures
Wakenya Bhana unakuta hapo Hana mbele Wala nyuma kazi yake kulinganisha tuu
Umasikini wa Tanzania umezidi wa kenya Maradufu kwa hivyo maneno unayoleta hapa wapelekee ndugu zako waganda na warundi.Wakenya Bhana unakuta hapo Hana mbele Wala nyuma kazi yake kulinganisha tuu
ulijua ni texasWacha...be serious man, yaani Westlands imeendelea hivyo, it's long time since been there. Yaani nimeanza kuwa mgeni kwenye nchi yangu, very hard to keep track of all these stuffs happening.
Niulize Collomzii na sio Collomzii amepost? What has majukwaa ya udaku got to do with thus? Soma post yako ya top 13 Posta na ulinganishe na ta Seven up ya top 13 Westy.Unabisha nn Au ww hukesha kwenye majukwaa ya udaku?uliza collohmzii reloaded
Punguza mdomo iyo ilikuwa Westland ndio list ya old cbd hapa...Unasema almost wakat ulitaja 13 pekee acha uzembe
Hii ndio Upanga tunapigiwa kelele juu yake
View attachment 908911
Iyo kicc haina namba maalumu Za flr zake?Punguza mdomo iyo ilikuwa Westland ndio list ya old cbd hapa...
1.timestowers 33
2.kicc 28
3.teleposta 28*2
5.nyayo house 27
6.paliament tower 27
7.cbk pension tower 27
8.anniversary towers 26
9.cop bank 25
10.hazina towers 24
11.lorno house 22
,12.am bank house 22
13.kenya re 20flrs
14.uchumi house 21
15.montana hotel 20
16.university of Nairobi 22
17.afya centre 20flr
18.hilton hotel 24
19. teachers service commission 20
20.viewpark towers 20
21.fedha towers 22
...,......... Please Fanya research ya jengo moja kwa moja alafu unipe list ya posta leo nazaa na wewe.
Umeitisha over 20, umepewa tena unabadilisha Goli. Nairobi over 30 zinajengwa Upperhill na Westy, Dar zote ziko Posta.Iyo kicc haina namba maalumu Za flr zake?
Btw naona Ni nyumba moja tu yenye 30flr+ wakati posta ziko 8
Izo Za 20flr + hata makumbusho zipo
Posta sio size yako ,ukiona umeumia tafuta transfomer iliokaribu ikumbatie
Live from NAIROBIIIIIIIIIIOctober 24, 2018
Nairobi, Kenya
Kenyatta Avenue Nairobi Kenya.
Named after the first president of Kenya, Mzee Jomo Kenyatta, this is the principal street in the Nairobi CBD