mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Tumekuwa tukisoma tangu enzi za mababu na hata wajukuu wa vitukuu wetu wataisoma tu.Karibia namba itasomeka, muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuwa tukisoma tangu enzi za mababu na hata wajukuu wa vitukuu wetu wataisoma tu.Karibia namba itasomeka, muda si mrefu
Namba mlizozisoma siyo , mtaisoma namba halisi.Tumekuwa tukisoma tangu enzi za mababu na hata wajukuu wa vitukuu wetu wataisoma tu.
siku za hivi karibuni umeshasikia hayo maneno 'shamba la bibi? Saizi ni 'ku fyekeeeleeeea mbali'Shamba la bibi lina pesa kwetu.
siku za hivi karibuni umeshasikia hayo maneno 'shamba la bibi? Saizi ni 'ku fyekeeeleeeea mbali'
Hapa sio mahala [pa mdomo na longolongo mingi ila tunaweka picha...Namba mlizozisoma siyo , mtaisoma namba halisi.
Weslands pamejengwa juzi tu wakati wa Arap Moi sio planned City ya wazungu!!Westlands, Posta vyote Muzungu planned 100%!
Leta African planned city hapa, ndo tulinganishe!
Kenya wako mbere😀😀😀nyie watu mna maneno kweli .Hebu linganisheni vijiji sasa.
Mkoa wa rukwa [emoji739] kakamega county
Dar es Salaam, TanzaniaTunangoja street view za Posta pale Dar na tayari video ya bagamoyo inaonyesha Westlands na Dar es sluum yote.
Wewe unaingia usilolijua hâta Sisi nia wabongo na tupo wengi sana KenyaHalafu mmejaa huku kwetu Tanzania , ha ha ha kwetu kuzuri buana,
Coming from Dar es Salaam City centre to Victoria
Dar es Salaam city 'Posta area' as seen from a ferry
Weslands pamejengwa juzi tu wakati wa Arap Moi sio planned City ya wazungu!!
Nataka kuijua/kuzijua kwa kuweka picha, wacha longolongo.unaijua posta na unaijua kijitonyama?