Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spectacular view of Upanga area in Dar es Salaam, Tanzania.
Ipi hiyo? BRT?Mko wa Barbara Moja ya maana tena ugly AF
Spectacular??? Thought that was Mogadishu man
Mkuu uwe unaweka ya kwako iliyo zaidi ya mogadishu.Spectacular??? Thought that was Mogadishu man
Nimeuliza hiyo moja ugly AF ya huku kwetu ninipi?Weka moja kama hiyo Dar salaama lane moja moja 10
View attachment 907120
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 907005
Umenotice?Na nikama sio kila mahali kuna stima huko[emoji16][emoji16]
Hili jibu nalo limenichesha kwelly...lol!Sina muda wa kupiga picha, nitaangalia zako.
La hasha. Westlands, Upperhill na Parklands ni maeneo yalipata kuendelezwa hivi miaka ya juzi tu. Even by 2000s, Upperhill km, ilikuwa mostly misitu na majumba machache za mabwenyenye....mostly wazungu (niliarifiwa), ambao waliamua kughura maeneo ya kama Karen jiji lilipoanza kupanuka na kufikia maeneo hayo.Westlands, Posta vyote Muzungu planned 100%!
Leta African planned city hapa, ndo tulinganishe!
Mko wa Barbara Moja ya maana tena ugly AF
La hasha. Westlands, Upperhill na Parklands ni maeneo yalipata kuendelezwa hivi miaka ya juzi tu. Even by 2000s, Upperhill km, ilikuwa mostly misitu na majumba machache za mabwenyenye....mostly wazungu (niliarifiwa), ambao waliamua kughura maeneo ya kama Karen jiji lilipoanza kupanuka na kufikia maeneo hayo.
Sielewi ni kwanini huna imani na uwezo wa mwafrika, ya kufanya mambo kama hayo kisawa sawa. Hivi Kigali si inajengwa na Waafrika?