Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu

Kwanza mtanisamehe.

Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa.

- Mtu mweusi ana shida sana.

- Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno.

- Mweusi anaishi kwa LEO yake.

- Anadeal na yanayomsibu LEO.

- Hayo ya KESHO hayamshughulishi na hana hata habari nayo LABDA itokee hayo ya kesho yawe yanatishia uwepo wake hapa duniani.

- Hili la ARV ni mojawapo.

- Hizi mada za ARVs, AIDS, HIV kwa ujumla zilikuwa zinaanzishwa sana kwenye majukwaa mbalimbali hapa Jf, lakini unakuta zina reply 2 hadi 3 tu, zimezidi saaana 5, hapo kwisha!

- LEO Trump kachomoa betri kumekuwa na mafuriko ya mada mbalimbali humu kuhusu HIV AIDS ARV.

- Si ajabu hata uzi huu pekee ukafika kurasa ya 10 muda sio mrefu!

- Kila mtu ameshapanic na anajifanya (sasa) yupo siriazi, lakini hii yote ni baada ya kusikia dawa za bure zinaelekea kuisha!

- Hii ndo hulka ya mtu mweusi-kujifanya yupo siriazi katika muda ambao sio rafiki.

- Kujifanya yupo siriazi katika muda ambao hawezi kufanya lolote zaidi ya kusubiri matokeo.

- Hii ndio akili ya mtu mweusi.
 
Back
Top Bottom