View attachment 2922042
Too much of something is harmful.
Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa.
Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia. Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.
Watu wanapenda ngono ila kuna point ambayo sasa hata mwenyewe kujishtukia kuwa sasa nimezama kwenye maji.
Vp uliwaje kudhibiti hii kitu au rafiki/mke/mme/ndugu aliwezaje pia?
Hili nalo ni uraibu?Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.
Hahaha daahWewe kandana kisawasawa, tafuta anayependa pia kukandwa daily.....baada ya miaka kadhaa hiyo hali inaanza kupungua yenyewe.....mim ni hali niliyopitia
safi sana. natamani tungejuana. natamani manzi anayependa kukandwaWewe kandana kisawasawa, tafuta anayependa pia kukandwa daily.....baada ya miaka kadhaa hiyo hali inaanza kupungua yenyewe.....mim ni hali niliyopitia
Oya eva chumvi upoWe piga miti kama hamu zipo.....
Mmh hii sio addiction navyojua addiction ni uraibu unapenda kufanya hicho kitu kuliko kawaida ungesema mtu anafanya sex sanaaa ila hilo la kupita na na bosi, wafanyakazi wenza hadi bodaboda ni umalaya aisee sio addiction.View attachment 2922042
Too much of something is harmful.
Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa.
Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia. Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.
Watu wanapenda ngono ila kuna point ambayo sasa hata mwenyewe kujishtukia kuwa sasa nimezama kwenye maji.
Vp uliwaje kudhibiti hii kitu au rafiki/mke/mme/ndugu aliwezaje pia?
Aaassaantee
Nipo Mwamba mambo, za siku.....Oya eva chumvi upo
Sweetheart nakuchapa nao mpaka nifie juu ya kinena...Aaassaantee
Thanks babe Ni uyamu kwakwenda mbelee!!Sweetheart nakuchapa nao mpaka nifie juu ya kinena...
Wewe umeumbiwa mimi, kwa nini nijidhibiti sasa...Thanks babe Ni uyamu kwakwenda mbelee!!
Hahahaha kinennna💕💋
Sure babe Its all yours. Jipimie utakavyo!Wewe umeumbiwa mimi, kwa nini nijidhibiti sasa...
Hizi ndio comments za maana sasa... 😊Uraibu wa ngono ni jambo zuri ili mradi partner wako naye awe na uraibu wa ngono.