Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

Well just kama addiction zingine, kuna triggers, marafiki, porn , starehe kupitiliza. Once ukishaa identify trigger ukaziondoa kwenye mind yako, safari ya kupona inaanzia hapo. Make no mistake si rahis but but ni possible. Lazima uwe tayari kukitoa sadaka kinacho sababisha hiyo addiction
Thanks

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mmh hii sio addiction navyojua addiction ni uraibu unapenda kufanya hicho kitu kuliko kawaida ungesema mtu anafanya sex sanaaa ila hilo la kupita na na bosi, wafanyakazi wenza hadi bodaboda ni umalaya aisee sio addiction.
Huo unaoita Umalaya ndio addiction yenyewe hiyo, mtu mwenye Sexual addiction hua haridhishwi na mtu mmoja sababu kiuhalisia mwenza wake hawezi kummudu hivyo hupelekea kutoka na wengine, kajisomee zaidi kuhusu Sexual Addiction pia tafuta movie inaitwa ADDICTED ya 2014.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]huyu ni mim kbsa na mpaka nimestaafu kwa kula mbususu zaidi ya 150
Nitakuja pm tuwe tunakumbushiana, huenda tulishakutana Kama sio Magot a.k.a Ushirika Basi Ohio au Libya au pale Zanzibar hotel wale waethiopia au Kinondoni makaburini au mwenge Ile bar nadhani Igongwe ilikua na wangese wengi kuliko Malaya. Hii Ni enzi kabla ya Meeda sijui San Diego sijui Lambo na Buguruni mataa Kimboka K za Bei Chee.
 
Huo unaoita Umalaya ndio addiction yenyewe hiyo, mtu mwenye Sexual addiction hua haridhishwi na mtu mmoja sababu kiuhalisia mwenza wake hawezi kummudu hivyo hupelekea kutoka na wengine, kajisomee zaidi kuhusu Sexual Addiction pia tafuta movie inaitwa ADDICTED ya 2014.
On point

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Huo unaoita Umalaya ndio addiction yenyewe hiyo, mtu mwenye Sexual addiction hua haridhishwi na mtu mmoja sababu kiuhalisia mwenza wake hawezi kummudu hivyo hupelekea kutoka na wengine, kajisomee zaidi kuhusu Sexual Addiction pia tafuta movie inaitwa ADDICTED ya 2014.
Hatari sana
 
Vipi bado ipo
Bado mkuu, hivi vitu ni mashetani🤣🤣🤣
20250124_153732.jpg
 
Back
Top Bottom