Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

Mmh hii sio addiction navyojua addiction ni uraibu unapenda kufanya hicho kitu kuliko kawaida ungesema mtu anafanya sex sanaaa ila hilo la kupita na na bosi, wafanyakazi wenza hadi bodaboda ni umalaya aisee sio addiction.
Ndio uraibu wenyewe huo, kila akijisikia anaenda na aliyepo karibu naye.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Andika thesis utunukiwe PhD!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Wewe kandana kisawasawa, tafuta anayependa pia kukandwa daily.....baada ya miaka kadhaa hiyo hali inaanza kupungua yenyewe.....mim ni hali niliyopitia
Ulikuwa una penda kukandana sana pia eh, ?! Mara ngapi kwa siku ilikuwa, tupe experience yako kidogo kama hutojali.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]huyu ni mim kbsa na mpaka nimestaafu kwa kula mbususu zaidi ya 150
 
Well just kama addiction zingine, kuna triggers, marafiki, porn , starehe kupitiliza. Once ukishaa identify trigger ukaziondoa kwenye mind yako, safari ya kupona inaanzia hapo. Make no mistake si rahis but but ni possible. Lazima uwe tayari kukitoa sadaka kinacho sababisha hiyo addiction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…