Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.

Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.

Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi hicho?

Sijui mlikutana wapi, ila hadi akachukua jukumu la kuja kwenu kukuomba kwa wazazi wako, akatoa mahari akakuleta kwake na sasa anaishi na wewe.

Anajitahidi kadri ya uwezo wake usipate taabu, anapenda kukuona ukiwa na furaha muda wote hata akikukosea anajishusha ili tu uwe na furaha. Pamoja naushenzi wako wote ila anakuvumilia, hataki kukupoteza.

Ulisha wahi kujiuliza wewe ni nani hasa kwake?, ni kitu gani special unampatia kiasi cha kumpa sababu ya kukupa wewe thamani kubwa hivyo katika maisha yake? Labda sex? Lakini unadhani hangeweza kupata sex bila wewe? Unadhani pamoja na uwepo wako katika maisha yake hapati sex huko nje?....

Tuseme labda anafanya hivo sababu umemzalia watoto?! Hapana, watoto wamekuja baadae sana. Wamemkuta akiwa anakupenda hivohivo.

Kwahyo ukiangalia ki undani, utagundua mume wako anakupenda bila sababu. And that's what true love is. Na siku ukifa, ni yeye ndiye ataumia zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.

Mtasema the vice-versa is true. Ila hapana. Mwanamke anampenda mume sababu anaprovide something. Anahudumia. Mume ukishindwa kuhudumia, mapenzi ya mkeo kwako will gradually fade out and eventually disapear. Siku moja tu utatoka kwenye mihangaiko ukute kaleta fuso, kabeba kila kitu ndani kaondoka zake.
Haina haja ya kusona title tu inatosha 100%๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Anakulisha yeye
Anakuvisha yeye
Bando anakununulia yeye
Kodi ya pango analipa yeye/Nyumba kajenga yeye
Bili ya umeme na maji analipa yeye
Ada ya watoto analipa yeye
Wazazi wako wakiwa na shida anawasidia yeye
Wazazi wake wakiwa na shida anasaidia yeye
And she just love you the way you are?! We ulisikia wapi?! Huyo mwanamke ulimuona wapi?!
Wapo mkuu jaribu kutembea tembea sema wachache
 
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.

Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.

Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi hicho?

Sijui mlikutana wapi, ila hadi akachukua jukumu la kuja kwenu kukuomba kwa wazazi wako, akatoa mahari akakuleta kwake na sasa anaishi na wewe.

Anajitahidi kadri ya uwezo wake usipate taabu, anapenda kukuona ukiwa na furaha muda wote hata akikukosea anajishusha ili tu uwe na furaha. Pamoja naushenzi wako wote ila anakuvumilia, hataki kukupoteza.

Ulisha wahi kujiuliza wewe ni nani hasa kwake?, ni kitu gani special unampatia kiasi cha kumpa sababu ya kukupa wewe thamani kubwa hivyo katika maisha yake? Labda sex? Lakini unadhani hangeweza kupata sex bila wewe? Unadhani pamoja na uwepo wako katika maisha yake hapati sex huko nje?....

Tuseme labda anafanya hivo sababu umemzalia watoto?! Hapana, watoto wamekuja baadae sana. Wamemkuta akiwa anakupenda hivohivo.

Kwahyo ukiangalia ki undani, utagundua mume wako anakupenda bila sababu. And that's what true love is. Na siku ukifa, ni yeye ndiye ataumia zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.

Mtasema the vice-versa is true. Ila hapana. Mwanamke anampenda mume sababu anaprovide something. Anahudumia. Mume ukishindwa kuhudumia, mapenzi ya mkeo kwako will gradually fade out and eventually disapear. Siku moja tu utatoka kwenye mihangaiko ukute kaleta fuso, kabeba kila kitu ndani kaondoka zake.
Tz tunahitaji watu Kama ww zaidi ya waliopo ili tusonge mbele
 
Hii awamu ya mama Samia watu wanaongea point sana
Ahsante mama
Mitano tena
 
Mbna imeandikwa wanaume wapendeni wake zenu na wake watiini waume zenu, ilo lipo hata Muumba anajua.

Efeso 5:22
Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

Efeso 5:25a
Enyi waume, wapendeni wake zenu,
 
Umekariri tu siku hizi wanawake nao wanaprovide

Ngoja nikuache
Mwanaume ku-provide ni MUST, mwanamke ku-Provide ni OPTION.

Huwezi pendant kama has provide ila huyo mwanamke anaye provide amependwa bila hata ya kuwa na sifa ya ku-provide hio ku-provide imekuja baadae tu na hata akishindwa provide tena si tatizo.

Una ubongo mzee kichwani utumie ipasavyo basi
 
Af wee ninja unapoelekea , umezama kuliko ata BEKA FLAVOUR kwa pisi yake ile makeup artist inayompeleka mputa

Af we si malume kabisa chalii ya R toto tundu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Š
Siku hizi ke wana nyanja za pesa kama me

Kwanini uwape pesa? Mimi naona hapana
 
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.

Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.

Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi hicho?

Sijui mlikutana wapi, ila hadi akachukua jukumu la kuja kwenu kukuomba kwa wazazi wako, akatoa mahari akakuleta kwake na sasa anaishi na wewe.

Anajitahidi kadri ya uwezo wake usipate taabu, anapenda kukuona ukiwa na furaha muda wote hata akikukosea anajishusha ili tu uwe na furaha. Pamoja naushenzi wako wote ila anakuvumilia, hataki kukupoteza.

Ulisha wahi kujiuliza wewe ni nani hasa kwake? Ni kitu gani special unampatia kiasi cha kumpa sababu ya kukupa wewe thamani kubwa hivyo katika maisha yake? Labda sex? Lakini unadhani hangeweza kupata sex bila wewe? Unadhani pamoja na uwepo wako katika maisha yake hapati sex huko nje?

Tuseme labda anafanya hivo sababu umemzalia watoto? Hapana, watoto wamekuja baadae sana. Wamemkuta akiwa anakupenda hivohivo.

Kwahiyo ukiangalia ki undani, utagundua mume wako anakupenda bila sababu. And that's what true love is. Na siku ukifa, ni yeye ndiye ataumia zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.

Mtasema the vice-versa is true. Ila hapana. Mwanamke anampenda mume sababu anaprovide something. Anahudumia. Mume ukishindwa kuhudumia, mapenzi ya mkeo kwako will gradually fade out and eventually disapear. Siku moja tu utatoka kwenye mihangaiko ukute kaleta fuso, kabeba kila kitu ndani kaondoka zake.
una akili zilizo tulia sana
 
Back
Top Bottom