ni sawa na kutaka kuchota maji na ndoo upeleke kwenye bahari, sasa ww umefuata mafao yako ya mawazo halafu unataka umwongezee mawazo mtoto wa watu wa pspf na shida zako za mafao, unadhani yeye ni bwege asichukuliwe na vigogo wa bot aangaike na wewe mstaafu wa 25%!?