Wewe dada wa PPF hapo kwenye jengo la PSPF (posta) ninahitaji namba yako seriously.

Wewe dada wa PPF hapo kwenye jengo la PSPF (posta) ninahitaji namba yako seriously.

ni sawa na kutaka kuchota maji na ndoo upeleke kwenye bahari, sasa ww umefuata mafao yako ya mawazo halafu unataka umwongezee mawazo mtoto wa watu wa pspf na shida zako za mafao, unadhani yeye ni bwege asichukuliwe na vigogo wa bot aangaike na wewe mstaafu wa 25%!?
Ungejua mkwanja nilionao kule wala usingeandika ulichokiandika mkuu.
 
Back
Top Bottom