Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Sasa mkuu MTU umeshuka nae kwenye gar unashindwa kumuomba namba mpka umekuja uku kweli dunian kuna mambo...
 
bila shaka jiji pendwa lenye wanaume pamlomo empty
 
Mwanamme sifa kuu ni kujiamini.

Hii Confidence ilokufanya uandike hapa, ungeitumia uso kwa uso, muda huu ungekua walau una namba yake ya simu.



Endelea ku appreciate!!
Kuja kuandika hapa hakuhitaji confidence,waweza kuandika uzi huku hujapiga mswaki na hakuna mtu atakayeona meno yako ya njano,ila kwenda kumface inakuwa tabu kidogo
 
we huna tofauti na wale wanaotongoza kwa text eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…