Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Inamuhusu sana afanye aende chinaSafari ya China inamhusu huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamuhusu sana afanye aende chinaSafari ya China inamhusu huyu
Yanaenda maji ya mtoUsikute mwanamke mwenyewe hata JF haijui wala hajawahi kuisikia machozi ya samaki haya
Kumbe uliusoma mchongo mzima wa mwanaJf mwenzetuAkaa!!!mm nilikuwa abiria tuu kama wengine[emoji16]
Nilikuwa namuona tuu alivyomtolea mijicho mrembo wa watu,nusu nimwambie nikakuombee namba mzee mwenzangu[emoji16]Kumbe uliusoma mchongo mzima wa mwanaJf mwenzetu
Haaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji242] [emoji242]Wanaume wa Dar, walianza kuogopa panya road, sasa hivi wanaogopa wanawake
Wachina nao wanapenda sifa kila kitu wao tu....Inamuhusu sana afanye aende china
Ewaaaa nahayo ndo mambo...mimi sijui nipoje,sinaga habar za kuumilia moyon ... Yann kujiminya minya.Yap... hakuna muda wa kupoteza. Unamuita pembeni na kumpa makavu.
Hongera sana [emoji4][emoji4][emoji12][emoji12][emoji12]ee babe Leo nilienda kusali mjini
[emoji16] Next time fanya hvyo Mkuu.... Au hutaki kuwa mshengaNilikuwa namuona tuu alivyomtolea mijicho mrembo wa watu,nusu nimwambie nikakuombee namba mzee mwenzangu[emoji16]
Ushenga bado[emoji16] Next time fanya hvyo Mkuu.... Au hutaki kuwa mshenga
'sante lovieHongera sana [emoji4][emoji4]
Nice strategy... [emoji39]Siku nyingine tembea na business card. Ukikutana na kifaa ukakielewa unakipatia biz card moja alafu unamuomba akucheki hewani, tu cut the long story short. The rest... is just a history!
hahaha ngoja na mm nikatengeneze B. Card asee [emoji12][emoji12][emoji125][emoji125]Siku nyingine tembea na business card. Ukikutana na kifaa ukakielewa unakipatia biz card moja alafu unamuomba akucheki hewani, tu cut the long story short. The rest... is just a history!
NDO WEWEHalafu alibeba mkoba wake mwenyewe mdogo mdogo hivi eeh..[emoji12][emoji12]
Wewe wasema....[emoji2]NDO WEWE