Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Mmeshuka kituo kimoja na haujaomba namba ya simu unakuja kulalama humu? Ukitwa domo zege utachukia?
 
Yap... hakuna muda wa kupoteza. Unamuita pembeni na kumpa makavu.
Ewaaaa nahayo ndo mambo...mimi sijui nipoje,sinaga habar za kuumilia moyon ... Yann kujiminya minya.

Muite pemben, mwambie tu bana ,najua unaharaka ila bado nisingependa kukosa kampani yako, umwnivutia sanaaaaa!!.

Unampa simu yako, umeshaiset upande wa kuandika namba ..basi utaona anashika anakuandikia namba ,unaondoka zako.
 
Back
Top Bottom