Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi

Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.

Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.

Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.

Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.

Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.

I was looking you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.

Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.

I hope you won't refuse.

Thank you
Sasa mkuu MTU umeshuka nae kwenye gar unashindwa kumuomba namba mpka umekuja uku kweli dunian kuna mambo...
 
bila shaka jiji pendwa lenye wanaume pamlomo empty
 
Mwanamme sifa kuu ni kujiamini.

Hii Confidence ilokufanya uandike hapa, ungeitumia uso kwa uso, muda huu ungekua walau una namba yake ya simu.



Endelea ku appreciate!!
Kuja kuandika hapa hakuhitaji confidence,waweza kuandika uzi huku hujapiga mswaki na hakuna mtu atakayeona meno yako ya njano,ila kwenda kumface inakuwa tabu kidogo
 
we huna tofauti na wale wanaotongoza kwa text eeh
 
Back
Top Bottom